16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mikakati ya ulinzi ni migumu, kwa sababu lazima

izingatie mambo ambayo yanaathiri usalama

wa wengine (kufuatia, kwa mfano, mfumo wa

vitisho-udhaifu-uwezo), pia jinsi wanavyofanya

wengine katika kujilinda wenyewe (mikakati

yao ya kukabiliana). Ili kukabiliana na utata huu,

tumeunda Mfumo wa Uendeshaji kwa Ulinzi

wa Ugani, unaotumika kwa watetezi wa haki za

binadamu 15 . Mfumo huu lazima uwe wa ufafanuzi

zaidi kuliko orodha rahisi ya kuzingatia: Ni lazima

utafakari mwingiliano na ushirikiano na migongano

ya vyombo vya aina zote vinavyofanya kazi katika

ulinzi, ili kutathmini matokeo ya aina mbalimbali au

shughuli za ulinzi kwa njia ya mpangilio zaidi ambao

ndio uliopo sasa.

Mfumo wa Uendeshaji kwa Ulinzi wa Ugani ni

chombo kikubwa na rahisi kutumika, kuchanganywa

na kudhibitiwa katika hali tofauti za shughuli za

ulinzi zinazofanywa na serikali, mashirika ya nchini

na mashirika yasiyo ya kiserikali, watu walioathirika

na mashirika ya kimataifa na mashirika yasiyo ya

kiserikali yaliyohusishwa. Mfumo huu unaweza

kutumika na mtu binafsi kwa chombo chochote

kati ya hivyo, wakati ikifanya au kufikiria kufanya

shughuli za ulinzi, au kwa makundi ya vyombo hivyo,

pamoja na mtazamo wa sekta nzima.

Mfumo wa Uendeshaji kwa Ulinzi wa Ugani una

hatua sita:

1. Uchambuzi wa mazingira na matukio;

2. Uchambuzi wa hatari (vitisho, udhaifu, uwezo);

3. Mikakati ya kukabiliana ya kundi athirika;

4. Hatua zilizochukuliwa na taasisi nyingine;

5. Hatua za kuchukua: Mikakati na Mipango;

6. Tathmini ya athari.

Hizi hatua 6 zinaweza kuchukuliwa pamoja na

watetezi ambao ulinzi wa usalama wao unapitiwa

upya, ili kupata mfumo wa pamoja wa ulinzi, ambao

ndio lengo la mwisho la mchakato mzima.

Hatua zaidi katika usalama na ulinzi wa

watetezi wa haki za binadamu

• Mafunzo katika usimamizi na mipango ya usalama

(kukiwa na watetezi wa haki za binadamu wa aina

mbalimbali, inabidi mafunzo haya yarekebishwe

kulingana na mazingira na uwezo wa aina

mbalimbali).

• Kuingiza suala la usalama katika mipango ya

kawaida ya kazi.

• Kutoa nyenzo muhimu kwa ajili ya usimamizi wa

usalama wa watetezi: rasilimali watu, fedha, njia

za kiufundi, n.k

Ili kufikia malengo haya, tunaweza kuchukua angalau

hatua 16 zifuatazo:

Mfumo wa Uendeshaji kwa Ulinzi wa Ugani (au

chombo kingine chenye lengo linalofanana) unaweza

kutumika kupitia mahitaji ya usalama na ulinzi wa

watetezi walio katika vitisho katika mazingira teule.

• Semina au warsha za mafunzo katika usalama

na ulinzi: Mafunzo yanaweza kuwa pamoja na

uchambuzi wa pamoja (kwa kutumia Mfumo wa

Uendeshaji kwa Ulinzi wa Ugani) uliotajwa katika

kipengele kilichotangulia, ili hatua zote mbili

zichukuliwe kwa mpigo.

• Semina au warsha za kufuatilia na kusaidia

mipango ya maendeleo na usalama iliyoundwa

baada ya mafunzo (warsha hizo lazima zifanyike

katika kipindi cha miezi 6-12 baada ya mafunzo

ya awali).

• Kutoa vitabu vya mwongozo wa usalama na ulinzi

na nyaraka za kumbukumbu.

• Utafiti zaidi ili kuboresha usalama na ulinzi wa

watetezi.

Kitengo cha Utafiti na Mafunzo ya Ofisi ya Ulaya ya

PBI kwa sasa kinazifanyia kazi mada hizi, na lengo

letu ni kupanua kazi hii kwa njia ya ushirikiano na

mashirika yasiyo ya kiserikali na taasisi nyingine,

ambazo zina lengo la pamoja la kushughulikia vizuri

mahitaji ya usalama na ulinzi wa watetezi wa haki za

binadamu.

Hapa tutaorodhesha mapendekezo kadhaa ya

malengo ya kutimiza kwa ajili ya usalama na ulinzi

wa watetezi wa haki za binadamu:

15 Kazi hii bado inaendelea na imefikiriwa pia itumiwe na IDP,

wafadhili, vyama vya wafanyakazi, nk.

16 Kitengo cha Utafiti na Mafunzo cha Ofisi ya Ulaya ya PBI

tayari kinafanyia kazi , pamoja na NGO nyingine kama vile

vyama vya kijamii vya kimataifa.

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 17

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!