Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
taarifa mrejesho tokana na hatua za ufuatiliaji na

tathmini.

Kukabiliana na changamoto za usalama:

usimamizi wa usalama kama mchakato

wa ziada

Usimamizi wa usalama kamwe haukamiliki, na

daima una upendeleo na ubaguzi. Kuna mipaka

inayolazimisha mfumo 8 huu; mipaka inayotambulika

(si mambo yote yanayoathiri usalama huweza

kuwekwa pamoja na kushughulikiwa kwa wakati

mmoja) na mipaka katika mchakato (upangaji

muda na mtiririko wa masharti muhimu kwa

kujenga ufahamu, kufanya makubaliano, kuwapa

watu mafunzo, kuhakikisha kuna wafanyakazi wa

kutosha, kutekeleza shughuli, nk). Ni mara chache

Usimamizi wa usalama huweza kujaribu kuwa na

mtazamo madhubuti, wa muda mrefu: Mchango

wake hutegemea uwezo wake wa kuzuia matukio

na kuashiria haja ya ushirikiano na uratibu kwa asasi

ili kukabiliana na matukio hayo. Labda hii si juhudi

kubwa sana, lakini pia inabidi kuzingatia kuwa kwa

kawaida rasilimali chache hutengwa kwa ajili ya

usalama, hivyo hatuwezi kamwe kuwa madhubuti.

Umakini ni jambo la lazima katika usimamizi wa

usalama.

Kama tulivyosema kabla, tunapopitia matendo ya

usalama wa mashirika yasiyo ya kiserikali unaweza

kuona aina fulani ya miongozo au mipango au hatua

za usalama au mielekeo ya tabia zinazoendelea.

Kuna vikundi vingi vilivyo hatarini, kutokana

na mtindo usiobadilika kuhusu utaratibu wa

usalama kukataa kuongeza uzito wa kazi uliopo

kwa kuchanganya na shughuli mpya za usalama.

Utaratibu wa usalama kama kawaida umegawanyika,

una mabadiliko na unaeleweka sana. Kwa upande

wa usimamizi wa usalama ni muhimu kuendelea

hatua kwa hatua, kufanya mabadiliko ya ziada

ili kuboresha utendaji. Mikakati na “taratibu za

usalama hutokea kwenye mifumo midogo ya

mkakati”, ambapo kila mmoja unashughulikia

eneo maalum la kazi (mipango, timu ya ugani hasa

inayohusika na usalama wake, meneja wa makao

makuu katika shinikizo la masuala ya mfadhili ya

usalama, nk ). Uongezekaji 9 katika usimamizi wa

usalama unafungua njia isiyo rasmi na kutoa nafasi

kwa ajili ya msingi wa mawakala wa mabadiliko

mahali pa kazi. Matukio ya haraka (kama vile

matukio ya usalama) hushawishi maamuzi ya

8 Quinn, James B.: “Strategic change: logical incrementalism”.

Sloan Management Review Summer 1989 (uk.. 45-60)

9 Kuna tafiti nyingi kuhusu uongezekaji na mipango ya

kimkakati. Mwelekeo huu ulioonyeshwa katika makala hiii

unatumia uzoefu wa C.E. Lindblom na James B. Quinn, na

wengineo.

haraka na ya muda ambayo hurekebisha utaratibu

wa usalama na kwamba, kama itasimamiwa vizuri,

huwa sehemu ya makubaliano yaliyoshirikisha

wengi kwa ajili ya kuchukua hatua miongoni mwa

wanachama wa ugani na timu ya usimamizi.

Dhana muhimu kwa ajili ya usalama na

ulinzi wa watetezi wa haki za binadamu

Watetezi wa haki za binadamu ni watu wa kawaida

ambao hujitolea kujiingiza hatarini

Hakuna mtu aliyezaliwa kuwa mtetezi wa haki za

binadamu. Watetezi ni watu wa kawaida ambao

hujitolea kujiingiza hatarini, ama katika kazi zao au

katika shughuli zao mbali na kazi zao. Kwa ujumla

wao hufanya hivyo katika muktadha wa maisha yao

ya kawaida, pamoja na familia na rafiki zao. Mambo

yote haya yana ushawishi wazi juu ya mtazamo wa

watetezi wa hatari, na hivyo katika mikakati yao ya

usalama. Kwa wakati wowote ule uliotolewa ambao

mtetezi huanza kupata vitisho kwa mara ya kwanza,

na katika kuendelea na kazi yake anaendelea kupata

vitisho hivyo, inaweza kuwa ni mwanzo wa hali ya

wasiwasi mkubwa kwa mtetezi huyo. Huo wasiwasi

na utaratibu wa mtetezi kumudu hali hii lazima

vizingatiwe wakati tunaposhughulikia mahitaji yao

ya usalama.

Wakati watetezi wanakabiliwa na hatari, hufanya

hivyo kama wanavyofanya wengine: Huendeleza

tabia inayorekebishika na kujaribu kurahisisha

mchakato wa kufanya maamuzi, katika kanuni

za hali za kurekebisha jamii na kundi. Masomo

ya kisaikolojia juu ya jinsi watu wanavyokabiliwa

na hatari umeonyesha kuwa hatari hukubaliwa

vizuri zaidi inapochukuliwa kwa hiari, wakati mtu

anapotambua kwamba anaweza kuidhibiti hatari

hiyo, na hatari hii inapokuwa imezoeleka 10 . Katika

mtazamo wa kisosiolojia, hatari ni dhana za kijamii,

ambazo zinahusiana na mambo ya utamaduni wa

kijamii uliohusishwa na miundo ya kijamii 11 . Kwa

ajili hiyo, kila sekta ya jamii huonyesha baadhi

ya hatari na kusahau nyingine. Hivyo, utafiti wa

anthropolojia ya utamaduni umeonyesha 12 kwamba

kila mtu ana tabia fulani ya kukubali hatari, na tabia

hii hutegemea na malipo yanayohusiana na hatari

hizo na mitizamo ya mtu binafsi juu ya hatari hizo.

Ni muhimu sana kutambua kuwa kukwepa hatari

kwa binadamu hakukabiliani tu na uwezekano

10 Crouch na Wilson (1982; uk.. 85-6), imenukuliwa katika López

na Luján (2000; uk. 71)

11 López na Luján (2000; uk..72)

12 López and Luján (2000; uk.72)

14

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili