Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Sura ya 3

Kiwewe na Mikakati ya Kukikabili kwa Watetezi wa Haki za Binadamu

Ukiwa Mtetezi wa Haki za Binadamu, unakabiliana

na hatari nyingi katika kazi yako. Wengi wenu

mmenyanyaswa, mmeteswa au kutiwa kiwewe

- ama moja kwa moja, au kama matokeo ya

kushuhudia na kuweka kumbukumbu za hadithi za

wengine. Kukabiliana na madhara baada ya matukio

yaliyokupata kunaweza kuwa kugumu sana, hasa

katika mazingira ya kuhamishwa nchini na kutengwa,

ambayo yenyewe hutia kiwewe. Kupata huduma

nzuri za afya na ushauri wa kitaalamu wa muda

mfupi au muda mrefu kuhusu kiwewe (kulingana na

mahitaji yako binafsi) ni muhimu, pamoja na msaada

wa kijamii. Katika matukio mengine, inaweza kuwa

vigumu kupata tiba sahihi – ama kwa kutokuwa na

huduma hapo, au kwa sababu ya hofu ya jumla kwa

watu, hakuna matibabu kwa mtu mwenye kiwewe.

Hivyo ni muhimu kuunda mtandao wa msaada

wa kijamii ambapo unaweza kupata uelewa na

utambuzi. Msaada wa kijamii unaweza kuwa mdogo

au mkubwa, kulingana na hali ya kipekee ya mtu

binafsi. Inaweza kuwa pamoja na watetezi wenza

wa haki za binadamu, familia, marafiki, viongozi wa

dini, walimu, vyombo vya habari, taasisi, vikundi

vya kijamii, na zaidi. Jamii si muhimu kutokana na

msaada binafsi inayotoa tu, bali pia kwa sababu ya

mamlaka yake ya kutetea mwingiliano - kushinikiza

mamlaka (si serikali pekee, bali pia mamlaka za

kidini) kutambua kwamba kitu fulani kimetokea,

kuelewa sababu za kutokea kwake na kutoa

ufumbuzi na fidia kwa kile kilichotokea. 17

Ni muhimu mtu kuyapa uzito yaliyomtokea ili

kuyashughulikia na kuyazoea. Uelewa wa jinsi

kiwewe kinavyoweza kukuathiri pia ni muhimu;

kwani hukusaidia kubuni mikakati inayostahili

kukabiliana na maisha yako ya kila siku ili uweze

kuendelea kufanya kazi kama binadamu thabiti.

Ni muhimu kwa watetezi wa haki za binadamu

kutambua kwamba hali wanayokumbana nayo si

jambo la kipekee, bali ni matokeo ya mikakati ya

mawazo makini ya ukandamizaji, yenye malengo

yaliyofafanuliwa wazi wazi. Uelewa huu, uliowekwa

katika makundi na kuhusisha tiba sahihi, uzingativu

wa huduma binafsi, uhusiano wa kindugu na hisia

za msaada toka kwa jamii, yanaweza kukusaidia

kukabiliana na kiwewe ulichopata.

Tunatumaini kuwa sehemu hii itakusaidia katika

kuendeleza mtindo wa msingi wa msaada ambao

wewe, kama Mtetezi wa Haki za Binadamu, unaweza

kujenga katika kazi yako, na unaweza kutumika kwa

17 Makala iliyoandikwa na Maria Teresa Dremetsikas na Michele

Millard

mahitaji yako na mazingira yaliyopo. Hii inatokana

na mtindo wa huduma iliyoanzishwa na Kituo

cha Kanada kwa ajili ya Wahanga wa Mateso jijini

Toronto, Kanada na kazi ya Taasisi ya Cordelia huko

Hungary.

Mateso na Vurugu zilizoandaliwa

Mateso na vurugu za kupangwa si kitu ambacho

“hutokea”. Ni vitendo visivyo na mantiki

wala mpangilio, vya uendawazimu vya watu

wendawazimu. Ni mikakati madhubuti iliyoandaliwa

kwa makini ya udhibiti wa jamii. Mbinu za mateso

na vurugu za kupangwa zina historia na hufunzwa.

Nchi mbalimbali zina utendaji na utaalamu wao

wanaopendelea. Wahalifu binafsi watafanya kwa

makusudi uvunjaji sheria kwa watu binafsi. Mtu

anaweza kupata mateso na kufanyiwa vurugu za

kupangwa kama mtu binafsi, hata hivyo, hadhira

kuu ni jamii nzima. Lengo zima ni kumdhuru mtu

kimwili, kisaikolojia na kiroho ili kumwogofya,

kumvunja moyo na kuidhibiti jamii yake yote.

Si jambo la bahati mbaya kwamba viongozi wa

jamii mara nyingi huwa walengwa wa kwanza;

hali kadhalika si jambo la kustaajabisha kwamba

watetezi wa haki za binadamu ndio wateule

mahsusi. Anapochukuliwa kiongozi imara toka katika

jamii, akashikiliwa kwa muda bila ya mawasiliano

yoyote na bila mtu yeyote kujua kinachotokea na

ikiwa hakuna mtu unayeweza kumfuata amwombe

msaada, kisha akiwa yu hai na akarudishwa katika

jamii akiwa amedhurika, ametiwa hofu na kiwewe,

hupeleka ujumbe mzito kwa wanajamii waliobaki

ili wasipambane, kuzungumzia, au kudai haki na

usawa. Kinaweza kuwa chombo chenye ufanisi

mkubwa cha ukandamizaji. Ukweli kwamba watu

huendelea kupambana na kuongelea na kushutumu

unyanyasaji ni uthibitisho wa ujasiri na azma yao.

Lakini mtu hawezi kukana kwamba mara nyingi

hupata madhara makubwa.

Sehemu ya I

Mateso, Vurugu Zilizoandaliwa na Afya

Uzoefu wa Kituo cha Kanada kwa Wahanga

wa Mateso

Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 Kituo cha

Kanada kwa Wahanga wa Mateso kimebaini athari

za mateso na mapambano juu ya afya za watu

binafsi, ikiwa ni pamoja na watu wazima na watoto.

Kuna athari nyingi za muda mfupi na za muda mrefu

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 19