16.01.2015 Views

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

Kutetea Haki za Binadamu - East and Horn of Africa Human Rights ...

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kuzungumza wazi. Hofu ya kukataliwa na kutengwa

na jamii inaweza kushawishi mtetezi asiseme kweli

juu ya suala nyeti. Kwa kawaida kuna fursa ndogo

ya kimbilio salama zaidi ya nyumbani kwao mtetezi

anapokuwa katika tishio. Matendo ya ukatili wa

kimwili na kingono ndani ya familia unaosababishwa

na kazi ya mwanamke kama mtetezi mara nyingi

yatashughulikiwa kama “suala la ndani” na

mamlaka ambapo mhalifu atapata adhabu ndogo

au kutoadhibiwa kabisa. Ni hizi hali zinazoendelea

ndizo zinazopelekea uwajibikaji ulioboreshwa wa

watendaji wasiokuwa wa kiserikali na utambuzi wa

haki za wanawake watetezi wa haki za binadamu

kutetea haki za wengine bado kuwa changamoto

kubwa.

Hatua ndogo za kuleta mabadiliko

Ni njia gani nyingine inayoweza kufanikisha ulinzi

bora zaidi kwa wanawake watetezi wa haki za

binadamu Kwa hakika hakuna jibu rahisi kwa

swali hili. Hata hivyo, tokana na ufafanuzi wa

hapo juu, inakuwa wazi kwamba njia hiyo iwe ya

wafuasi wengi, wakishughulikia vyanzo halisi vya

ubaguzi unaoendelea ambao husababisha hatari

mahususi kwa watetezi wa haki za binadamu. Hii

itabidi ikusudie kubadilisha itikadi ya wahalifu na

kuunda miundo na taasisi katika jamii ambayo

inaweza kutoa ulinzi sawa kwa raia wote bila kujali

jinsi. Hili halifanyiki kwa muda mfupi, na makala

hii hawezi kudai kutoa ufumbuzi kwa hali ya

kutokuwa na usawa inayoendelea katika jamii yetu.

Hata hivyo, hujaribu kutoa mawazo ya utekelezaji

kwa madhumuni ya kushughulikia madhara

maalum yanayoweza kuwapata watetezi wa haki

za binadamu katika mtazamo 33 wa muda mrefu.

Kampeni ya kimataifa juu ya watetezi wa haki za

binadamu iliyotajwa hapo juu ni mfano mzuri wa

kujaribu kujenga mabadiliko ya pamoja. Imetokana

na jitihada za mitandao kati ya vikundi vya haki

za wanawake na mashirika ya haki za binadamu,

na hivyo kuleta pamoja utaalamu na hamasa toka

misingi mbalimbali. Lengo la kampeni lililotangazwa

ni kuunga mkono haki za binadamu duniani kote

katika juhudi zao za kuendeleza haki za wengine.

Hata hivyo, kampeni inakusudia kulenga wale

watetezi walio hatarini kutokana na jinsi zao na/au

utambulisho wa kijinsia. Ili kufanikisha hili, mkazo

utawekwa juu ya “kuendeleza mikakati changanuzi

na ya kisiasa ya pamoja kwa kuimarisha ulinzi wa

wanawake watetezi wa haki za binadamu katika

muktadha mpana zaidi wa kuthibitisha dhamira

33 Sehemu nyingine za kitabu hutoa ushauri wa jinsi ya kushughulikia

matatizo ya usalama ya watu binafsi. Angalia sura

“Watetezi wa Haki za Binadamu katika vitisho: Mtazamo wa

Ugani kwa Kazi zao” na “Vyombo vya Kimataifa na Kikanda

kwa Ulinzi wa Wateteai wa Haki za Binadamu”.

zilizotambuliwa kimataifa kwa kanuni za demokrasia

na haki za binadamu na uhuru ulimwenguni.”Hii

ina maana inabidi juhudi za kitaifa na kimataifa

ziendelezwe bega kwa bega kuyapa uzito maelezo

ya kitaifa na wakati huo huo kutumia nguvu za

harakati za kimataifa katika kuanzisha na kutia

msukumo wa mabadiliko. Kiufanisi hii ina maana

kwamba watetezi wa haki za binadamu wanahitaji

kujiandaa. Katika ngazi ya kitaifa changamoto hii ni

kuunganisha pamoja watetezi wa haki za binadamu

na kutambua vikwazo wanavyokabiliwa navyo kwa

msingi wa kazi yao na jinsi zao. Hii inabidi ifanywe

kwa kuzingatia mfumo wa sasa wa kijamii, kisheria,

kisiasa na kiutamaduni uliopo ambamo watetezi wa

haki za binadamu hufanyia kazi na ambao wakati

huo huo huathiri ubaguzi wao na uwezekano wao

wa kuathirika. Ni kwa uchambuzi wa wazi wa

vyanzo halisi vya ubaguzi na ukosefu wa usalama

tu ndio unaoweza kuendeleza vyombo muhimu vya

mabadiliko. Mikutano ya mashauriano ya kitaifa

kama ile iliyofanyika nchini Togo au Nepal 34 inaweza

kuwa chaguo moja la kuwaunganisha watetezi wa

haki za binadamu kwa ajili ya mipango ya uchambuzi

na mkakati. Hata hivyo huwa muhimu kuhusisha

harakati kubwa za kitaifa za haki za binadamu

katika hatua yoyote ama kama lengo la kampeni

au mbia wa mabadiliko. Kujenga kukubalika na

kuungwa mkono kwa ujumla kati ya harakati kubwa

za watetezi wa haki za binadamu juu ya uhalali

wa madai ya watetezi wa haki za binadamu kuwa

washirika sawa katika kutetea haki za binadamu liwe

moja ya malengo.

Njia zilizochaguliwa kushughulikia suala la vyanzo

vya madhara maalum ya watetezi wa haki za

binadamu hutegemea sana mazingira ya kitaifa.

Hata hivyo, kampeni zilizolenga kushughulikia

masuala hayo sambamba na changamoto za jumla

za watetezi wa haki za binadamu zinaweza kutoa

msaada mkubwa zaidi na matokeo endelevu

zaidi. Vyombo na vitendo vilivyoainishwa inabidi

vihusiane na kufaa kutumika katika hali ya sasa

ya kushughulikia watendaji muhimu – hivyo

mashauriano na chama cha kiraia kikubwa na

kushirikiana mafunzo yaliyopatikana katika

kampeni na utetezi yanaweza kuwa ya manufaa

sana katika kuandaa kampeni thabiti yenye lengo.

Ushiriki wa rasilimali watu na uzoefu katika

hatua kama hizo lazima upatikane. Kujenga hali

ambapo masuala mahususi ya watetezi wa haki za

binadamu yanashughulikiwa na kupata ulinzi kama

ilivyoainishwa na serikali katika nyaraka za kimataifa

kama vile Azimio la Umoja wa Mataifa juu ya

34 Masimulizi yake na matukio yanayofanana nayo yanaweza

kupatikanakupitia http://www.defendingwomen-defendingrights.org/actions.php

Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 37

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!