kwa mashirika ya kimataifa na watendaji wengine muhimu katika mikutano kama vile Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu. Mkakati unaoendelezwa kwa pande zote ndio utakaokuwa na matokeo endelevu katika mtazamo wa muda mrefu. Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili 39
Sura ya 6 Kutetea Kundi la Wachache katika Tabia ya Mwenendo wa Kufanya Mapenzi Suala la wafanya ngono kinyume cha kawaida bado ni nyeti sana katika Afrika. Wanaharakati katika masuala ya watu wasagaji, mashoga, wanaovutiwa kimapenzi na watu wa jinsia zote mbili, wenye jinsi mbili na wenye jinsi tata hukabiliana na vitisho vikubwa toka kwa serikali mbalimbali pamoja na jamii kwa ujumla kutokana na mambo wanayoendeleza. Hivi sasa, wanaharakati hawa bado wanakosa msaada kutoka katika harakati yenyewe kubwa ya haki za binadamu, jambo ambalo linavunja moyo mno. Hivyo harakati za wafanyao mapenzi ya jinsi hiyo, hukabiliwa na changamoto nyingi za nje. Hata hivyo, kuna changamoto za miundo ya ndani na za kiitikadi ambazo pia hudhoofisha uwezo wake wa kuendesha masuala yake kwa njia ya kimkakati na kudhibitiwa. Makala hii inajaribu kutoa maelezo ya jumla juu ya masuala ya wafanyao mapenzi kinyume cha desturi kwa kutoa ufafanuzi na kueleza changamoto za wanaharakati wanaofanya kazi katika eneo hili, pamoja na kuunganisha kazi yao kwa juhudi kubwa zaidi za watetezi wa haki za binadamu na haki 37 zao. Istilahi Kifupisho wafanyao mapenzi kinyume cha desturi kwa pamoja kinamaanisha watu wasagaji, mashoga, wanaovutiwa kimapenzi na watu wa jinsia zote mbili, wenye jinsi mbili na wa jinsi tata, kifupisho kinachojumuisha tabia mbalimbali za mwenendo wa kufanya mapenzi, yaani na jinsi yako, tofauti au zote na utambulisho wa kijinsia (SOGI). Wafanyao mapenzi kinyume cha desturi huchukuliwa neno lenye maana pana zaidi kuliko “shoga” au “msenge”. Lina maana ya uvutiwaji tofauti wa kufanya mapenzi wa watu ambao ni tofauti na kile kinachochukuliwa kama desturi ya kufanya ngono na mtu wa jinsia tofauti, yaani mvuto wa ngono na mtu wa jinsia tofauti. Neno msagaji linahusu wanawake ambao huvutiwa kihisia za mapenzi na ngono na wanawake tu wakati mashoga inahusu wanaume ambao huvutiwa na wanaume tu. Wanaovutiwa kimapenzi na watu wa jinsia zote mbili wanaweza kuvutiwa kihisia za mapenzi na ngono na mwanamume au mwanamke. Kifupisho wafanyao mapenzi kinyume cha desturi pia ni pamoja na utambulisho wa aina mbalimbali wa kijinsia katika neno ‘wenye jinsi mbili’. Wenye jinsi mbili inahusu mtu ambaye utambulisho wake kijinsia hauendani na kundi la kiume/kike, kwa 37 Makala halisi ya Nora Rehmer, na kufanyiwa marekebisho Lynsey Allan na Carina Raj Maria Jacobs kawaida watu huwekewa wakati wa kuzaliwa. Kwa kweli, maana, matarajio, na wajibu unaoambatana na makundi ya jinsia ya “kiume” na “kike” ni hujengwa na jamii. Kwa kulinganisha, neno la kibaiolojia jinsi humaanisha hali ya kisaikolojia ya kuwa na via vya uzazi vya kiume au kike. Wakati au kabla ya kuzaliwa, watoto hutajwa kama mwanaume au mwanamke kulingana na jinsi familia, wakunga, na/au madaktari wanavyoona sehemu zao za siri. Watu wenye jinsi mbili kisaikolojia, kimwili, kihisia, kingono na/au kiroho ama hujisikia kuwa wa jinsia tofauti kuliko ile waliyopewa wakati wa kuzaliwa au hawawezi kupatanisha utambulisho wao wenyewe na kundi 38 mojawapo la jinsia. Watu wa jinsi tata “ambao jinsi zao haziko wazi kwa misingi ya viungo vya ngono au muundo wa kromosomo (chembe hai inayoonyesha jinsi). Kuna hali nyingi tofauti na maoni yahusuyo na ambayo yamo katika makundi ya istilahi hii. Ni hali ya kibaiolojia.” 39 Changamoto ya watu wafanyao mapenzi kinyume cha desturi Watu wafanyao mapenzi kinyume cha desturi hukabiliana na hatari na changamoto mbalimbali katika Afrika. Pamoja na ukweli kwamba mingi ya mitazamo hasi na sheria zinazowabagua watu wafanyao mapenzi kinyume cha desturi ililetwa na wakoloni, unyanyapaa wa kijamii mara nyingi uliohalalishwa na dini na/au utamaduni siku hizi huonyesha matendo ya ushoga na vyama kama “wasio Waafrika” na “kinyume na utaratibu wa kawaida”. Ingawa watu wenye jinsi mbili, na mahusiano ya wasagaji na mashoga kuwepo katika aina mbalimbali zinazokubalika katika maeneo mengi kote Mashariki na Pembe ya Afrika kabla ya uvamizi wa nguvu za kigeni, mitazamo hasi na sheria zinazoharamisha zilizoanzishwa kwa njia ya ukoloni ya madhara ya kud umu. Kanuni hizi hutumika sana na kutetewa vikali katika jamii na wananchi wengi, na vyombo vya habari na/au watu maarufu wakiwalemaza watu kutotumia haki yao ya usawa na kutobaguliwa. 38 Ufafanuzi wa baadhi ya istilahi hizi bado zinapingwa kwamba hazitoshelezi kumaanisha ukweli wanaojaribu kueleza. Maana yenyewe ya watu wafanyao mapenzi kinyume cha desturi pia linaweza ikatofautiana na istilahi ya hapo juu. Hata hivyo, makala hii haiwezi kujadili kikamilifu masuala haya. 39 Kama ilivyofafanuliwa na ‘Swedish Federation for Lesbian, Gay, Bisexual and Transgender Rights’. Inayopatikana katika http://www.rfsl.se/p=3307 40 Kutetea Haki za Binadamu: Kitabu cha Marejeo kwa watetezi wa Haki za Binadamu | Toleo la pili
- Page 1 and 2: Kutetea Haki za Binadamu Kitabu cha
- Page 3 and 4: Kutetea Haki za Binadamu Kitabu cha
- Page 5 and 6: Shukrani Chapisho la kitabu hiki li
- Page 7 and 8: Sura ya 1: Vyombo vya Kimataifa na
- Page 9 and 10: • Kutafuta, kupata, kupokea na ku
- Page 11 and 12: wenyewe kwa: • Kupatikana ili apo
- Page 13 and 14: ya ulinzi bora kwa watetezi wa haki
- Page 15 and 16: iliyopo kwa ajili ya ulinzi wa wate
- Page 17 and 18: na kutathmini hali inayobadilika (n
- Page 19 and 20: taarifa mrejesho tokana na hatua za
- Page 21 and 22: na (b), lakini ni vigumu kutekeleza
- Page 23 and 24: Bibliografia ADAMS, J.: Risk. Uchap
- Page 25 and 26: za mateso na vurugu za kupangwa: Ki
- Page 27 and 28: Katika ngazi ya familia wanachama w
- Page 29 and 30: Uwezeshaji Binafsi Utekelezaji wa k
- Page 31 and 32: Hupoteza udhibiti wa hali hiyo, huk
- Page 33 and 34: Sura ya 4 Kampeni za Utetezi wa Hak
- Page 35 and 36: vinavyotosheleza hadhira uliyolenga
- Page 37 and 38: Sura ya 4.5 Vyombo vya Habari vya K
- Page 39 and 40: Sura ya 5 Wanawake Watetezi wa Haki
- Page 41 and 42: ukatili wa kijinsia na ubakaji. Wat
- Page 43: watetezi wa haki za binadamu, waten
- Page 47 and 48: yake walinyanyaswa. Wanaharakati wa
- Page 49 and 50: maisha yao binafsi mbele ya mapamba
- Page 51 and 52: la Kasha lilitokea pia katika gazet
- Page 53 and 54: Kiambatanishi cha 1 African Commiss
- Page 55 and 56: Azimio Kuhusu Haki Na Wajibu Wa Mtu
- Page 57 and 58: kupitia mwakilishi halali, kulalami
- Page 59 and 60: European Union Guidelines on Human
- Page 61 and 62: policy towards human rights defende
- Page 63 and 64: assisting in the establishment of n
- Page 65 and 66: Tovuti rasmi: http://www.achpr.org/
- Page 67 and 68: Ufafanuzi kwa Azimio juu ya Watetez
- Page 69 and 70: kupunguza uchunguzi na ufuatiliaji,
- Page 71 and 72: Utekelezaji wa Uhuru wa Kujieleza:
- Page 73 and 74: kama jeshi, ikatenganishwa na kutam
- Page 75 and 76: Kiambatanisho cha 4 Mashirika yanay
- Page 77 and 78: kwa wasagaji, mashoga, wanaovutiwa
- Page 79: Mradi wa Watetezi wa Haki za Binada