vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
KITINI - MADA YA 7

UJUMBE MUHIMU: STADI ZA MAWASILIANO YA ANA KWA

ANA

Mawasiliano ni utaratibu wa kupeleka na kupokea taarifa (kwa maneno na bila

maneno) kuhusiana na jambo mada fulani baina ya watu wawili ama zaidi kwa

lengo la kufikia maelewano ya pamoja.

Mawasiliano ya ana kwa ana ni njia yenye nguvu sana katika kuleta

mabadiliko ya tabia.

Salamu ni jambo la kwanza kabisa ambapo kunakuwa na mawasiliano ya

ana kwa ana na salamu zinatengeneza mazingira kwa ajili ya

mazungumzo mengine yote yatakayofanyika. Ni muhimu kuonyesha

heshima wakati wa kusalimiana.

Kusikiliza ni zaidi ya kusikia maneno, ni pamoja na kuwa mwangalifu

kwa ajili ya ujumbe wa maneno na usio wa maneno ili kufikia maelewno

ya pamoja.

Kuuliza maswali ni njia ya kumhamasisha mtu kushiriki katika kutoa

taarifa zaidi kuhusiana na hali zao. AU kueleza hisia zao. Wakati wa

kudodosa tumia mchanganyiko wa maswali yaliyo wazi na yaliyofungwa.

Tumia maneno aliyosema mteja wako ili wafahamu kwamba umekuwa

unawasikiza na utoe taarifa sahihi na kusahihisha kila aina ya mitazamo

potofu.

Jambo jingine linalofanikisha kwenye mawasilano ya ana kwa ana ni

matumizi ya zana kama vile majarida vijitabu mabango, na machapisho

mengine ambayo yaliandaliwa ili kukuza uelewa kuhusiana na mada

husika.

Stadi zinazofanikisha za mawasilaino ya ana kwa ana zinazotumika ili

kuendeleza mahusiano mazuri na mabadiilko ya tabia:

o Salimia kwa heshima

o Sikiliza ujumbe wa maneno na usio wa maneno

o Uliza maswali ili kuanzisha majadiliano

o Tumia maneno rahisi ili kutoa taarifa sahihi

o Tumia zana za kusaidia kutoa taariafa za kuaminika na sahihi

100