08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

maswali ya kudodosa.

Kudodosa: Maswali ya kudodosa huchukua jambo maalumu, hisia au jambo

maalum na kuchambua kwa kina. Hii ni muhimu pale ambapo wateja

wanapodhihirisha dondoo iliyokuwa imerukwa. Kudodosa ni muhimu wakati

wa kuongea kuhusu mada nyeti ambazo zinaweza kuwa ni vigumu kwa wateja

kuelezea kwa uwazi wao wenyewe

Eleza kwamba ladha ya sauti ni muhimu wakati wa kuuliza maswali. Sauti

inapaswa isiwe yenye kuhukumu, wahudumu wanapaswa ladha ya sauti

ambayo inaonyesha kutamani kufahamu zaidi na kujali.

Uliza swali hilohilo kwa sauti ya ladha tofauti: Unao marafiki wa kingono zaidi

ya mmoja sasa? Ili uweze kuona tofauti?” .

7.5 Taarifa Rahisi na Sahihi

Hatua ya Kwanza

Alika watu wawili wajitolee kusoma majibizano haya :

Mteja: Habari ya asubuhi

Mhudumu wa saluni : Nzuri habari za kwako nikusaidie nini ?

Mteja: Nahitaji kusuka nywele zangu sasa …. Pia nitafanya usafi wa kucha ………..I

Mhudumu wa saluni: Ndio, unataka kusuka nywele na kusafisha miguu leo, je

ulisha fanya makubaliano ya kukutana ?

Mteja: Hapana ……….sikupiga simu …..ila nilikuja hapa mwezi uliopita Jenny

alihudumia nywele zangu r……

Mhudumu wa saluni : Leo Jenny yupo ila ana mteja mwingine kwa sasa, unaweza

kusubiri hadi amalize? Tunaweza kuhudumia kucha zako kwanza wakati ukiwa

unaendelea kumsubiria….. ….

Mteja : Ndio nataka kumsubiria Jenny , ndio sawa nihudumie kucha zangu kwanza. ,

Mhudumu wa saluni: Ndio naweza kuhudumia kucha zako na Jenny

atahudumia nywele zako mara tu akimaliza na mteja wake…njoo upande huu

tafadhali…

87

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!