vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
5. Wanawake walio na umri zaidi ya miaka 40 wanashauriwa kuwa mabli na

kujichunguza matiti na kuchunguzwa kliniki kila mwezi (BCE) wanapaswa

kufanyiwa kipimo cha mammography kila mwaka au kila mwaka mara mbili

kwa maeneo ambayo kipimo hicho kinapatikana hapa Tanzania ).

6.2 Kujichunguza mwenyewe Matiti

Hatua ya Kwanza

Waambie washiriki kwamba ni muhimu kwa wanawake kufahamu namna ya

kujichunguza kila mwezi (BSE) kugundua dalili za saratni ya matiti. Wapatie

kitini cha jinsi ya kujichunguza saratani ya matitii. Soma na kujadiliana hatua za

kujichunguza mwenyewe (BSE) pamoja na washiriki. .

Hatua ya Pili

Wapatie washiriki kitini cha saratani ya shingo ya uzazi na kupitia taarifa

zilizomo kuhusiana na saratani hiyo pamoja na kikundi.

Maana

• Ni aina ya vivimbe vinanvyotokea katika titi ambavyo vinaweza kuwa saratani

• Si vivimbe vyote vinavyotokea ni saratani

• Wanaume pia wanaweza kupata saratani ya matiti(1% ya wagonjwa ya saratani

ya matiti ni wanaume)

• Mfano: jipu, vivimbe visivyo saratani

Vitu gani husababisha

• Hakuna kitu cha moja kwa moja kinachosababisha ugonjwa huu

• Mara nyingi huwakuta watu wazima

Nani yuko kwenye hatari ya kupata saratani ya matiti?

• Mwanamke

• Mtu mwenye historia ya magonjwa ya saratani kwenye familia yao hasa ya

matiti

• Mtu aliyewahi kupata saratani

• Wanawake wasiozaa au waliochelewa kuzaa

• Utumiaji wa vidonge vya majira vyenye vichocheo vya istrogeni kwa kiwango

cha juu sana(zamani)

74