vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
wao kuenedeleza stadi za jinsi ya kutoa taarifa za kiafya kwa wateja, wakati wa

mikutano ya anakwa ana.

Kuboresha stadi za mawasiliano ya ana kwa ana ya wahudumu wa saluni ili

waweze kutoa ujumbe wa kuleta mabadiliko ya tabia kuhusiana na kuzuia VVU

na tabia nyingine za afya ya uzazi.

7.2 Salamu

Waambie washiriki kwamba sasa tutanagalia jinsi ya kuendeleza satdi

zinazohitajika katika kuanzisha majadiliano na wateja na kutoa taarifa

zitakazoweza kuleat mabadiliko na kuboresha afya za wateja wao.

Hatua ya Kwanza

Waulize washiriki, nini hutokea unapokutana na mtu unaemfahamu wakati

ukiwa unatembe mitaani? Elezea hali hiyo nini kinachotokea.

Waambie waelezee njia zilizo zoeleka za watu kusalimiana kwenye jamii

mbalimbali za Tanzania. Andika majibu yao kwenye bango.

Zipi ni tabia za kupeana salamu?

Tarajia majibu yafuatayo:

Hatua ya Pili

Wenye umri mdogo wanasimama kuwasalimia watu wazima

Wanaume wanavua kofia wakiwasalimia wanawake

Watu wanashikana mikono

Kila moja kuonyesha heshima kwa mwingine

Kuinamisha vichwa vyao chini kuonyesha dalili ya heshima.

Ku mkubali mwingine

Waambie washiriki kwamba salamu ni jambo la kwanza kwenye mawasiliano ya

ana kwa ana na hutengeneza mazingira kwa ajili mazungumzo mengine yote

yatakayoendelea. Kwahiyo stadi muhimu wakati wa mawasiliano ya ana kwa

ana ni kutoa salamu inayokubalika.

82