vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
KITINI CHA MADA YA 8

NJIA ZA UZAZI WA MPANGO ZINAPATIKANA KWENYE VITUO

VYA AFYA

Kitanzi (IUD)

Kitanzi ni nini?

- KITANZI ni kipande kidogo cha plastiki laini na shaba kandokando

chenye umbo la T. kina nyuzi nyembamba mbili zimewekwa kwenye

sehemu ya mwisho. Inaingizwa kwenye mji wa mimba kupitia ukeni na

shingo ya mji wa mimba na mtaalamu aliyesomea. Baada ya kifaa hicho

kuwekea kweny mji wa mimba vikamba viiwili tulivosema hapo awali

huachwa vikiningia kupitia kwenye shingo ya uzazi hadi kwenye uke ili

kwamba mteja wa kifaa hicho aweze kujichunguza ili kuhakikisha kama

kiko mahali pake. Kitanzi (IUD) ni njia inayofanikisha sana. Haikulindi

na mgonjwa ya ngono ukiwemo UKIMWI.

Inafanya kazi namna gani

- Inazuia mimba kwa kuzuia kupandiza yai kwenye mji wa mimba.

- Shaba inayotoka kwenye kitanzi (IUD) inaua nguvu ya mbegu za kiume

(spermicidal) na hivyo kupunguza kasi ya mbegu za kiume

Inavyofanikisha:

- Inafanikisha ni ya kuaminika

Faida s

- Haina madhara ya kihomoni yanayohusianishwa nayo

- Ina ulinzi wa muda mrefu (hadi miaka 10)

- Haiingiliani na tendo la ngono

- Inaweza kuondolewa wakati wowote

- Haiingiliani na tiba

- Inaweza kuwekwa mapema tu mara baada ya kujifungua

- Huzuia mimba punde tu inapowekwa

- Uzazi hurudi mara tu baada ya kuindoa.

Nani wanaweza kutumia kitanzi (IUD)

- Wanawake /wenzi ambao wanataka kuzuia mimba kwa kindi kirefu

- Wanawake walio kwenye mahusiano dhabiti ya mume mmoja

- Wanawake wanaonyonyesha baada ya kujifungua

- Wale ambao hawezi kutumia uzazi wa mpango wenye vichocheo vya

homoni

124