08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

MADA YA PILI: STADI ZA MSINGI ZA BIASHARA NA

MPANGO WA JIPENDE

Mada Ndogo :

2.1 Msingi wa Matangazo

2.2 Dondoo za matangazo na mauzo

Madhumuni: Mwisho wa somo tutakuwa:

Zana:

Muda:

Tumejadili masuala muhimu ya masuala ya matangazo

Kutambua mbinu za mauzo na matangazo

Mabango na kalamu (maker)

Kitini Mahusiano na Mteja

Fomu ya Tathmini

Dakika 50

2.1 Misingi ya Matangazo Basic Marketing

Hatua ya kwanza

Eleza kwamba wakati wa somo tutajadiliana dhana za msingi za kutangaza

biashara. Miongoni mwenu wengine tayari mnafahamu kuhusu habari hizi ila

tutarejea tena ikiwa ni sehemu ya jitihada ya kuboresha biashara zetu ili

kutangaza bidhaa au kutoa huduma.

Wewe tayari ni kongozi miongoni mwa wanawake wa karne ya 21. Umekuwa na

biashara yenye mafanikio na tulivutiwa sana siku ile ya kwanza tulipofika

kwenye saluni yako. Sasa tutaongea kuhusu mamabo amabyo tayari unayafanya

kuendeleza biashara yako pia jinsi ya kuboresha biashara iwe nzuri na kutoa

huduma nzuri zaidi kwa wateja. Tutaanza kwa kuangalia kuhusu umuhimu wa

wewe kuwafahamu wateja wako na huduma unayotoa.

Hatua ya Pili

Waambie washiriki kwamba tutajadili baadhi ya njia za namna ya kuwafikia

wateja wao au wateja muhimu ili waweze kuwa wazi kuelezea mahitaji yao na

22

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!