08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kuhakikisha kwamba dondoo zifuatazo tulizojifunza kwenye zoezi la maswali

zimeguswa:

Hali halisi kwa ujumla “Ungependa kuongea kuhusu nini ”?

Ukweli “Nini kilichotokea ”?

Hisia “Ulijisiakiaje ”?

Sababu “Kwanini ulifanya hivyo ”?

Mahususi “Unaweza kunipatia mfano ?

Sasa waulize washiriki, Je haya ni maswali ya aina gani? Andika majibu kwenye

bango. Baada ya kubunga bongo hitimisha majibu yao na wafahamishe kwamba

kwa ajili ya madhumuni ya somo hili maswali haya tutayapanga kwa aina tatu,

maswali yaliyofungwa, maswali yaliyo wazi, na maswali ya kudodosa. Pitia aina

hizi tatu na mifano yake kama yalivyoorodheshwa hapa chini na uwaambie

washiriki wakupatie mifano.

AINA YA SWALI MFANO

Mswali yaliyofungwa: Kupata taarifa

maalum :

“Je unao watoto wangapi ”

Maswali yaliyo wazi: Kufahamu “huwa uanjisikiaje kuhusu

kumhusu mteja hisia zake, imani, na kondom

uelewa.

“Je unafahamu nini kuhusu

saratani ya shingo ya kizazi ?”

Kudodosa : kufuatilia kwa kutumia “Unaweza kunieleza zaidi kuhusu

sentensi aliyotumia mteja

kwa nini unafikiri sio muhimu

kutumia kondom na rafiki yako?”

Baada ya kupitia aina za maswali: Uliza; je ni aina gani ya taarifa unayojaribu

kupata kutoka kwenye kila aina ya maswali?

Tumia taarifa hii hapa chini kuhakikisha maswali yanajibiwa kwa usahihi kwa

aina ya maswali ya aina tatu.

Maswali yaliyo wazi: Yanamruhusu mteja kuelezea na kutoa taarifa. Mteja

anaweza akawa na uhuru wa kucha gua wapi na namna gani anweza kuelekeza

swali lake. Ina msaidia mhudumu kupata taarifa zaidi kuhusiana na mteja..

Maswali yaliyofungwa: Maswali yaliyofungwa hayaruhusu ufafanuzi bali

majibu mahususi. Yanakuwa na majibu ndio au hapana au majibu 1-2. Yanafaa

sana katika kukusanya taariafa za ukweli bali sio kwa ajili ya kuweka mazingira

mazuri ambapo maamuzi yanaweza kufanyika. Kwa kutumia mlolongo wa

maswali yaliyofungwa mhudumua anakuwa AMETAWALA mazungumzo. .

Mteja ataweza kuweka wazi taarifa kuhusiana na mawali maalum yaliyoulizwa,

bali itakuwa ni mwanzo tu na yatapaswa kufuatiliwa na maswali yaliyo wazi na

86

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!