08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

KITINI CHA MADA YA 6

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Saratani ya shingo ya kizazi ni nini?

Saratani ni ugonjwa ambao unasababisha baadhi ya seli za mwili zisifanya kazi

sawasawa, zinagawanyika kwa upesi sana na kuzalisha tishu nyingi ambazo

hutengeza uvimbe. Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani, hii ni saratni ya

amayo huathiri sehemu ya chini ya mji wa mimba. Saratani ya shingo ya kizazi

ni ugonjwa ambao unaweza kuwa hatari sana, ingawaje, ni miongoni mwa

magonjwa unayoweza kuyazuia. Kwa kawaida huchukua miaka mingi kwa seli

za kawaida za kizazi kubadilika na seli za saratani, ila wakati mwingine huweza

kutokea kwa kipindi kifupi tu.

Zipi ni dalili za Saratani ya Shingo ya Kizazi?

Kabla ya sratani au katika hatua za wali za saratani ya shingo ya kizazi kwa

kawaida huwa haionyeshi dalili zozote. Mwanamke huwa anaonyesha dalili

wakati ambapo saratani inakuwa imebadilika na kuvamia seli zilizoko jirani na

shingo ya kizazi. Wakati hali hii ikitokea dalili ambayo hujitokeza mara nyingi

ni kutokwa maji sehemu sehemu za siri yasiyokuwa ya kawaida kutokana na

uvimbe mkubwa ambao umeathirika na kusababisha kutokwa na maji yenye

harufu (harufu mbaya) ambayo hutokea kabla ya kuanza kutokwa damu.

Mambo ya hatarishi yatokanayo na kuwa na kuwepo kwa Saratani ya shingo

ya kizazi?

Mambo hatarishi ni pamoja na:

Kuathiriwa na kirusi cha kijulikanacho kama “human papillomavirus”

(HPV). Madaktari wanaamini kwamba wanawake wanakuwa tayari

wamethiriwa na kirusi hiki kabla ya kuonyesha dalili za saratani ya

shingo ya kizazi.

Tabia za kingono- kufanya ngono katika umri mdogo na historia ya kuwa

na wapenzi wengi.

Matumizi ya tumbaku – wanwake wanovuta sigara wanakuwa kwenye

hartari mara mbili ya wale ambao hawavuti kupata saratni ya shingo ya

kizazi.

Tunaweza kugundua saratani mapema kwa njia gani?

Saratani inaweza kugundulika mapaema kwa kufanya kipimo kijulikanacho

kama “Pap” mara kwa mara. Wanawake wapime afya zao mara kwa mara ikiwa

ni pamoja na mifupa ya nyonga na kufanya kipimo cha Pap. Mwanamke

anatakiwa aanze kufanyiwa kipimo cha hiki kati ya miaka mitatu baada ya

kuvunja ungo au kwenye umri wa miaka 21, kimojawapo kati chochote kati ya

hayo mawili kitatangulia ni sawa.

79

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!