vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
afya. Njia nyingine zilizobakia zinapatikana kwenye vituo vya afya tu na

zinatakiwa zitolewe na mtaalamu wa afya. Sasa tutajadiliana kuhusu kuhusu

vidonge na kondom kwa kina zaidi.

Kama kuna muuguzi au mtaalamu wa masuala ya uzazi wa mpango waalike ili

waje kujadili kuhusu taarifa zifuatazo. Endapo hakuna mtaalamu rejea taarifa

ifuatayo na wanakikundi. Wapatie vidonge (njia ya kupanga uzazi kwa kumeza).

Vidonge (Oral Contraceptives)

Kuna aina mbili za vidonge zinazotumika hapa Tanzania

Muunganiko wa estrojeni na projestini mf Makroginon, Lo femenal na Duofem

- Zenye projestini peke yake -microluti na Microval.

Vidonge vyenye muunganiko wa vichocheo kama vile Flexi P.

VIdonge vilivyo na homoni zaidi ya moja ni nini?

- Hivi ni vidonge vya kuzuia mimba ambavyo vina homoni mbili esterojen

na projesteron (two hormones estrogen and progestin).

Vidonge hivi vyenye homoini zaidi ya moja vinafanya kazi kwa namna gani?

- Vinazuia kupevuka kwa yai (ovulation)

- Zinasababisha eneo la ndani ya mji wa mimba lisifae kwa ajili ya

kurutubisha yai

- Zinafanya ute wa kizazi kuwa mzito na kusababisha iwe ni vigumu kwa

mbegu za kiume kupenya na kuingia kwenye mji wa mimba

- Kufanikisha : vidonge hivi vinafanikisha sana kama vikitumiwa vema .

Faida zake

- Kuzuia mimba zisizotakiwa

- Kurekebisha hedhi

- Hupunguza kiasi cha damu ya hedhi na maumivu wakati wa hedhi

- Huongeza ashki ya kufanya mapenzi kwa baadhi ya wanawake kwa vile

hofu ya kupataujauzito inakuwa imeondoka

- Zinapatikana kwenye maeneo ya kibishara na hat kupitia wasambazji wa

ngazi ya jamii.

- Haziingiliani na tendo la ngono

- Ukiacha kutumia inakuwa rahisi mwili kurudi katiak hali yake na kubeba

mimba tena (easily reversible)

Nani hawezi kutumia aina hii ya njia ya uzazi wa mpango

110