vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
KUULIZA MASWALI

AINA YA SWALI MFANO

Maswali yaliyofungwa: Taarifa “Je unao watoto wangapi ”

maalumu : taarifa maalum

Maswali yaliyo wazi: kujifunza kuhusu “Huwa unajisikiaje kuhusu

hisia, imani na ufahamu wa mteja kondomu

“Unafahamu nini kuhusu saratani

ya shingo ya uzazi?”

Kudodosa : Kufuatilia ya kauli ya mteja “Unaweza kunieleza zaidi

kwanini unafikiri kwamba

kutumia kondomu na rafiki wa

kiume haina maana yoyote?

TAARIFA RAHISI NA YA UHAKIKA

Kuongea kwa lugha nyepesi ni stadi nyingine ambayo itasaidia kuongeza

uelewa wakati wa mazungumzo ya ana kwa ana. Kutumia lugha rahisi kwa kila

mtu aweze kuelewa na kurudia taarifa hiyo kwa usahihi kuhakiksha kwamba

nyote yaani wewe na mteja wako mmeelewana kwa usahihi.

ZANA ZA KUWEZESHEA

FAIDA MAPUNGUFU

Inavutia usikivu

Inatoa taarifa sahihi

Inaelezea hatua kwa utaratibu

Inawezesha mawazo magumu

kuwa marahisi kwa kutumia

michoro.

Inachochea majadiliano

Kusaidia kujadili mambo nyeti

Unachukua taarifa nyumbani kama

kumbukumbu

Kushirikisha wanafamilia wengine

taarifa

Kila mmoja nakuwa na taarifa hiyo

hiyo.

Haifanikishi endapo watu

hawawezi kusoma la sivyo zana

hizo ziwe zimeanadaliwa mahususi

kwa ajili ya watu wasiojua kusoma .

Hazifanikishi kwa makundi

makubwa ya watu

Inatoa maelezo maalumu ya taarifa

zilizopo kwenye zana.

Pengine inaweza kuhitaji maelezo

ya ziada

Usambazaji na uzalisha wa nakala

unakwazwa na ukosefu wa fedha

za kutosha.

Kupotea kwa uarhisis au kutupwa

95