08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

10. Orodhesha njia sita za uzazi wa mpango zinazopatikana Tanzania :

a. ___________________ d.____________________

b. ___________________ e._____________________

c. ___________________ f.______________________

MADA YA KWANZA: KUJA PAMOJA KWA KUSUDI

Mada ndogo:

1.1 Kufahamiana

1.2 Wanawake wa karne ya 21

1.3 Ukweli kuhusu masuala na changamoto za Ujinsia na Afya ya Uzazi hapa

Tanzania

1.4 Maadili yetu

1.5 Fursa yetu na Wengine

Madhumuni: Mwisho wa somo tutakuwa:

Zana:

Tumejadili kile kinachomaanisha kuwa mwanamke wa karne ya 21 hapa

Tanzania ;

Kukamilisha zoezi la awali la mafunzo :

Kupitia ukweli kuhusu ujinsia na afya ya uzazi Tanzania;

Kutambua mitazamo chanya ya kuwa mwanamke wa sasa Tanzania ;

Kutambua wanawake wa Tanzania ambao ni mfano wa kuigwa;

Kujadili maadili na jinsi ya ambavyo kuwa na maadiili na kupanga

kipaumbele cha maadili kutakavyoweza kuwa na athari chanya kwa

maisha ya mtu ;

Bango na kalamu

Kitini cha Ukweli kuhusu ujinsia na afya ya uzazi hapa Tanzania

Kitini cha Mifano ya Maadili

Kitini cha kupanag vipaumbele vya maadili binafsi

Kitini cha Kuja pamoja kwa ajili madhumuni

Muda

Saa na dakika 40

8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!