08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

KITINI CHA MADA 5

UJUMBE MUHIMI: KONDOM

Wanawake wanaweza kujilinda wao wenyewe kutokana na magonjwa ya

ngono ikiwa ni pamoja na UKIMWI na mimba zisizotarajiwa kwa

kutumia kondom na wenzi wao kila wakati na kwa usahihi.

Kondom ya Dume na Lady Pepeta ni rahisi na zinapatikana kwenye

maeneo mengi ya kuuzia kondom..

Ili kondom iweze kufanikisha ni lazima itumike kwa usahihi, kufanya

mazoezi ya jinsi ya kutumia yanasaidia kutumia vizuri.

Ni muhimu kushirikishana taarifa kuhusiana na umuhimu wa kutumia

kondom kila wakati na kwa usahihi ili kuzuia mimmab zisizotarajiwa

magonjwa ya ngono, na kuzuia maambukizi ya VVU kwa wateja wa

saluni yako.

70

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!