08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

KITINI CHA MADA YA 4

UJUMBE MUHIMU KEY MESSAGES: TAARIFA KUHUSU VVU NA

UKIMWI

VVU ni maambukizi kama yalivyo maambukizi mengine ya magonjwa

mengine ya Ngono hayawezi kuonekana. Watu wengi huwa hawafahamu

kama wana VVU.Njia pekee ya kufahamu ni kupima tu.

VVU ni maambukizi ambayo yanaweza kusababisha UKIMWI wakati

ambapo mtu anapoumwa mara kwa mara.

Hakuna tiba ya VVU au UKIMWI.

Kuna mikakati mitatu ya kuzuia VVU: Kuacha mahusiano ya kingono,

Kuwa mwaminifu kwa mwenzi mmoja na kutumia kondom kila wakati

na kwa usahihi ni baadhi ya mikakati hiyo.

Njia pekee ya kufahamu kama una VVU ni kufanya kipimo cha VVU.

Unyanyapaa kichocheo chake kikubwa ni hofu. Unyanyapaa huumiza

kisaikolojia, kiakili na hata wakati mwingine kimwili. Unyanyapaa

unafanya iwe vigumu kutafuta taarifa au msaada kama vile wapi

wakapime VVU au wapi wakapate tiba.

Kama viongozi kwenye jamii yetu tunaweza kuwasidia wanajamii

kupambana na unyanyapaa kwa kufanya yafuatayo. 1) Kushirikisha

taarifa sahihi kuhusu VVU na UKIMWI na kuongelea kuhusu hayo wazi

wazi. 2) Bila kificho kuwakubali wanajamii wateja na ndugu au marafiki

wanaoishi na VVU. Kama kiongozi kwenye jamii njia hii inaweza ikaleta

mabadiliko makubwa kuhusu namna watu wengine wanavyowatendea

watu wanaoishi na VVU (WAVIU).

58

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!