vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Hatua ya Tatu

Waambie washiriki waorodheshe zana saidizi walizo nazo kwa ajili ya Lady

Pepeta Dume na Flexi P. Wapatie washiriki baadhi ya zana hizi.

Mwambie kila mshiriki aelezee ni wakati gani wa kutumia zana saidizi.

Mtu mmojawapo ajitolee kuonyesha jinsi ya kutumia zana saidizi wakati wa

somo la mazoezi ya Lady Pepeta.

Vijarida vijitabu, mabango, vitini au michoro vinaweza kutumika wakati wa

maonyesho ya saluni za urembo, kuwa na kukkundi kidogo cha majadilianao

ama mazungumzo ya mtu mmoja mmoja.

Waambie washiriki kwamba zana zilizotengenezwa kuboresha ufahamu

kuhusiana na mada zinaweza kuboresha uelewa kuhusiana na mada maalumu

na kumsaidia kufanya mabadiliko ya tabia. Onyesha na upitie zana mbalimbali

za kuwezeshea zilizopo.

7.7 Kufanyia mazoezi ya stadi za mawasiliano ya ana kwa ana

Hatua ya Kwanza

Wapatie Kitini cha stadi za mawasiliano ya ana kwa ana na upitie kwa pamoja na

washiriki:

Salamu inayofaa

- Humwezesha mteja kujisikia amekaribishwa.

- Hakikisha kuwa kuna utamaduni wa kusalimiana na inakubalika.

Kusikiliza kwa makini:

- Uwe makini na ujumbe wa wateja wa maneno na usio wa maneno.

- Tumia mawasiliano ya maneno na yasiyo ya maneno ili kuonyesha

unafautila na kufurahia wanachosema.

Uliza maswali

Tumia maswali yaliyo wazi yaliyofungwa na kudodosa ili kuhamasisha

majadiliano na kupata taarifa zaidi.

Ongea kwa lugha nyepesi:

- Tumia maneno ambayo yanaeleweka kwa urahisi

90