08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

zinazodhoofisha mbegu, Njia za kutumia vichocheo, Njia za asili, na Kufunga

kizazi kwa hiari.

Wapitishe washiriki kwenye kila kikundi. Uwaulize kama wanafahamu ni njia

ipi iko kwenye kundi lipi. Baada ya hapo wapatie kitini cha njia za mpango hapa

Tanzania. Mpitie kwa pamoja na kikundi na kuonyesha njia za uzazi wa mpango

kila unapoiongelea njia hiyo.

1. Vichocheo (Hormonal)

Kinywa (ORAL)

- Vidonge vyenye vichocheo zaidi ya kimoja ( Combined oral

Contraceptive (COC) Pills (Flexi-P)

- Vidonge vye kichocheo kimoja (Progestin Only Pills)

SINDANO

- Depro ProveraMegestron

Vipandikizi (IMPLANTS)

- Kipandikizi aina ya Norplant (yenye vipandikizi 6 )

- Kipandikizi aina ya Implanon (yenye kipandikzi kimoja )

2. Njia ya Vizuizi (Barrier Methods)

- Kondom (kiume - Dume, kike -Lady Pepeta)

3. Kitanzi (Intra Uterine Contraceptive Device- IUCD)

- Shaba (Copper T 380A)

4. Njia asilia (Natural Methods)

- Kupima ute (Billings Ovulation Method/Cervical Mucus Method

BOM/CMM)

- Njia maziwa ya mama wakati wa kunyonyesha (Lactation

Amenorrhea Method- LAM)

- Kalenda

- Joto la mwili (Basal Body Temperature)

5. Upasuaji wa hiari wa kufunga kizazi (Voluntary Surgical Contraception-

VSC)

- kufunga kizazi kwa hiari kwa wanawake (Tubal ligation)

- kufunga kizazi kwa hiari kwa wanaume (Vasectomy male)

Hatua ya Tatu

Wanakikundi wanatakiwa akufahamu kuwa vidonge, njia ya homini njia ya

vizuizi zinapatika mahali pengi hata maeneo ya biashara na kwenye vituo vya

109

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!