vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
MADA 1: KITINI

UKWELI KUHUSU UJINSIA NA AFYA YA UZAZI TANZANIA

1. Kufanya ngono zisizo salama inaweza kusababisha kupata mimba

zisizotarajiwa, VVU na Magonjwa ya Ngono.

2. Matatizo wakati wa mimba na wakati wa kujifungua ni sababu

kubwa inayosababisha vifo vya wanawake Tanzania

3. Kila mtu anaweza kupata VVU – wanaume, wanawake, vijana,

wazee, matajiri, masikini, wasomi na wasiosoma. Mara

utakapopata VVU huwezi kuviondoa.

4. VVU vinaathiri wanawake zaidi iwe ni kwenye maeneo ya mijini

au vijijini hapa Tanzania .

5. Kupata magonjwa ya zinaa kunaongeza uwezekano wa kupata

maambukizi ya VVU. .

6. Wanawake na wanaume waliooana wanapaswa kupima VVU.

7. Wanawake wanaweza kujilinda wasipate VVU, magonjwa mengi

ya ngono ama mimba zisizotarajiwa kwa kutumia kondom mara

kwa mara na kwa usahihi wao na wenzi wao wa kingono.

18