08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Hatua ya Pili

Waulize washiriki ni nini walichojifunza kwenye majibizano haya?

Majibu:

Salamu ilikuwa sawa aliuliza maswali yaliyo wazi na yaliyofungwa.

Waambie washiriki: Kwamba wanatakiwa waone pia kwamba mhudumu wa

saluni alikuwa anarudia baadhi ya maneno yale yale alyosema mteja, kwa

kurudia maneno aliyosema mteja, anajisikia vyema kwamba mhudumu wa

saluni hakika anamsikiliza na kujibu kulingana na mahitaji yake. Hii ni aina

nyingine ya stadi ambayo inaongeza uelewa wakati wa majadiliano.

Alika mtu mwingine ajitolee kusoma Kitini cha Mawasiliano ya ana kwa ana,.

Kuongea kwa lugha nyepesi ni stadi nyingine ambayo itasaidia kuongeza

uelewa wakati wa mazungumzo ya ana kwa ana. Kutumia lugha inayoeleweka

kwa uarahisi kwa kila mtu na kurudia taarifa sahihi kuhakikisha kwamba wewe

na mteja wako wewe na mteja wako nyote mmeeleweka. Wakati mwingine ni

muhimu kurekebisha lugha ili iweze kukidhi kiwango cha elimu ya wateja

wako.

Hatua ya Tatu

Waambie washiriki wako: Kuna habari za uongo na zilizopotoshwa kuhussiana

na baadhi ya mada amabzo tumesha jadiliana kwenye warsha zilizotangulia

huussani suala la kondom. Soma kwa sauti mfano unaofuata:

Kondom zina matundu na hivyo sio salama katika kuzuia VVU; vijidudu

vinapita kwenye matundu , kwa hiyo sio njai nzuri ya kuzuia VVU.

Washiriki wawili wawili wajadiliane na kutambua njia za kuweza kutoa taarifa

sahihi ili kuondokana maneno potofu kuhusiana na kondom. Tumia maneo yale

yaliyosemwa na mteja.

Waalike washiriki watoe majibu.

Majibu unayoweza kuyatarajia: Kondom ni njia nzuri sana ya kujilinda na VVU.

Hazina matundu na virusi haviwezi kupita kwenye kondom.

88

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!