vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
mtaalamu wa afya. .

Washriki wanapaswa kufahamu kwamba utaeleza kwa ufupi sana njia hizi na

utawapatia kitini chenye maelekezo ya kina zaidi ambapo kinaweza kutumika

baadae kama mwongozo rejea.

Waambie washiriki kwamba ni muhimu kuwaelekeza wateja wao kwenye vituo

vya kutolea huduma endapo wateja watakuwa na maswali ambayo hawawezi

kuyajibu.

Hapa chini kuna taarifa ambayo unaweza kuitumia kwenye hitimisho lako

kuhusu Njia za uzazi wa mpango ambazo watazipata kwenye kituo cha afya:

KITANZI ni kipande kidogo cha plastiki laini na shaba kandokando chenye

umbo la T. kina nyuzi nyembamba mbili zimewekwa kwenye sehemu ya

mwisho. Inaingizwa kwenye mji wa mimba kupitia ukeni na shingo ya mji wa

mimba na mtaalamu aliyesomea. Baada ya kifaa hicho kuwekea kweny mji wa

mimba vikamba viiwili tulivosema hapo awali huachwa vikiningia kupitia

kwenye shingo ya uzazi hadi kwenye uke ili kwamba mteja wa kifaa hicho

aweze kujichunguza ili kuhakikisha kama kiko mahali pake. Kitanzi (IUD) ni

njia inayofanikisha sana. Haikulindi na mgonjwa ya ngono ukiwemo UKIMWI.

Sindano (Depo- Provera & Megestron) hizi ni njia za uzazi wa mpango

zinazofanikisha zenye kichocheo kimoja ambacho hutolewa kwa njia ya sindano.

Njia hii ina kichocheo kinachoitwa projestini. Sindano moja tu inakukinga dhidi

ya mimba kwa miezi mingi. Sindanio haikulindi dhidi ya magojwa ya ngono

ukiwemo UKIMWI.

Vipandikizi (vijiti): (Implants: Norplant and Implanon) hivi ni viplastiki

mithili ya vijiti vidogo vyenye dawa vinawekwa chini ya ngozi kwenye mkono.

Ina vichocheo sawa na sindano ya depo provera na vidonge vya Minni.

Kipandikizi kinaweza kukupatia kinga dhidi ya mimba kwa miezi kadhaa. Ila

haikulindi na magonjwa ya ngono ukiwemo UKIMWI

Upasauji wa hiari wa kufunga kizazi : Ni njia ya kufunga kizazi ya upasuaji

ambapo huweza kufanyiwa mwanaume au mwanamke. Zote ni njia za

kudumu. Kwa mwanamke inajulika kama kufunga mirija ya kupitisha yai la

kike (Tubal-ligation). Kwa wanaume hujulikana kama kufunga mirija miwili

inayopitisha mbegu za kiume (vasectomy)

a) Kufunga mirija inayopitisha mayai kwa mwanamke (Tubal-ligation)

116