vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
kuwapatia wateja wao. Hali hii itakutofautisha na saluni nyingine kwa sababu

tofauti na saluni nyingine kwenye saluni yako wanawake wataweza kupata

taarifa na bidhaa za kiafya. Huduma hizi za ziada zinaweza kuwavutia wateja

wapya kama njia ya kupata bidhaa na kuweza kuwavutia wateja wa zamani

waendelee kuwa wateja wako.

Utunzaji mzuri wa Mahesabu

Ili biashara yako ifanye vyema na kuleta faida ni muhimu kufahamu kuhusu

matumizi yako na uweze kutunza kumbukumbu zake kila siku.Hii itakusaidia

kufahamu inakugharimu kiasi gani kuendesha na kiasi gani cha fedha

kinatakiwa kuingizwa kwenye biashara kila siku ili uziba gharama hizi na

pengine kusaidia kupata faida. Gharama ambazo unaweza kuingia ni pamoja na

umeme, maji n.k Gharama ya vifaa vya nywele mishahara na kodi ya pango.

Gharama zote hizi zinapaswa zionekane kwenye kitabu cha mahesabu ya fedha

vilevile kufuatilia kutunza kumbukumbu kutakusaidia kupanga bei vyema,

Tambua ni bidhaa ama huduma gani inayoingiza faida zaidi ili uweze

kuzitangaza zaidi na kuweza kufahamu wapi pa kupunguza matumizi ili

kuokoa gharama endapo biashara haiongezeki kama ulivyotarajia.

Kuweka malengo ya biashara yako

Kuweka malengo kwa ajili ya biashara yako utaweza kufuatilia vema jinsi

ambavyo biashara ya saluni yako inavyoendelea kinyume na matarajio yako na

maeneo gani yanayohitaji kuboreshwa. Dondoo chache za namna ya kuweka

malengo ni pamoja na:

1. Hakikisha kuwa kila mmoja kwenye saluni anafahamu vyema

malengo hayo ili kufahamu wanafanya kazi kukamilisha malengo

na kwa ajili ya nini.

2. Mfano wa malengo yanakuwa ni pamoja na:

1. Idadi ya wateja waliohudumiwa kwa wiki (wapya na wale

waliorudi kwa mara nyingine tena )

2. Malengo ya mauzo ya bidhaa/huduma kwa juma (mf idadi

ya waliofika kuosha, na kutengeneza nywele , idadi ya

waliofanya huduma kwa mvuke)

3. Kiasi cah fedha kilichopatikana kwa wiki

27