vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Wapatie dakika chache kufanya zoezi hili na baada ya hapo wawe tayari

kuwasilisha majibu yao..

Baada ya kila kikundi kimeshawasilisha waambie washiriki waangali namna

ambavyo maadili ya kikundi kimoja yanavyotofautiana ama kufanana na

kikundi kingine.

Hatua ya Sita

Sasa waambie washiriki:

Je ilikuwa ni vigumu kuchagua baina ya maaadili mbalimbali? Yapi

yalikuwa ni vigumu kuyachagua?

Je kwa nini ni muhimu kufahamu maadili yetu kabla ya kufanya

maamuzi?

Je ni kwenye aina gani ya maamuzi ambapo zoezi hili linaweza

kutusaidia?

Waambie washiriki kuwa kushikilia maadili yao kunaathiri utaratibu mzima wa

kufanya maamuzi. Kuwa na utaratibu wa kutafakari kuhusu maadili yetu kabla

ya kufikia maamuzi ya mwisho kunaweza kukuzuia kufanya maamuzi mabaya

au kufanya chaguo dhaifu ambalo linaweza kusababisha kuwa na matokeo hasi

kwako au kwa wale wapendwa wako.

Kwa mfano, kama wahudumu tunaweza kufanya maamuzi yatayosaidia kuweza

kuwavutia wateja wasiondoke kwenye saluni zetu, kama tunathamini huduma

nzuri kwenye saluni ili kuweza kuwafurahisha wateja wetu na ili warudi tena

kwa mara nyingine kufanya biashara zaidi.

1.5 Fursa kwa Ajili yetu na kwa Wengine

Hatua ya Kwanza

Waambie washiriki kwamba mpango wa JIPENDE uliandaliwa ili kuwezesha

wanawake wa Tanzania kusaidiana wao kwa wao na kuboresha afya zao.

Tutakuwa tunakutana kila wiki kujifunza stadi mpya na kujadiliana taarifa

muhimu kuhusu kuboresha afya ya wanawake na kukuza biashara za salauni za

urembo. Ila kabla ya kubadilsisha au kuwasaidia wengine inabidi sisi wenyewe

15