vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
JIPENDE! VITUO VYA AFYA YA WANAWAKE

ZOEZI LA AWALI

1. NINI SABABU YA VIFO VYA WANAWAKE KATI YA MIAKA 18-49 HAPA TANZANIA?

VVU, Mimba /matatizo wakati wa kujifungua Magonjwa ya Ngono ,

Malaria .

2. Je VVU ni tatizo zaidi kwa wanaume au wanawake? Wanaume

Wanawake

3. Je upo uwezekano wa kupata magonjwa ya ngono na mtu usifahamu

kama umeambukizwa? NDIO HAPANA

4. Je kupata magonjwa ya ngono kunaweza kusababisha kuwa na haya

yafuatayo:

Kupata Saratani , Kupata VVU Kupata Mimba kupata Malaria

5. Orodhesha njia tatu za kuzuia VVU :

a. ____________________ c.______________________

b. ____________________

6. Ipi njia peke ya kufahamu kama umepata VVU?

7. Orodhesha masuala mawili ambayo yanasababishwa na unyanyapaa

katika kuzuia VVU na jitihada za matibabu hapa Taznania:

a. ____________________________________________________

b. ____________________________________________________

8. Je wanawake wafanye uchunguzi kuhusu saratani ya matiti kila baada ya

muda gani?

Kila siku mara moja kwa wiki mara moja kwa mwezi mara moja kwa

mwaka

9. Ipi ni njia ya mawasiliano yenye kufikia watu wengi kwa ajili ya kusaidia

kufanya mabadiliko ya tabia?

Redio Mawasiliano ya ana kwa ana Luninga Vipeperushi

7