08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Waambie washiriki kwamba ili kuweza kusema mtu amesikiwa na kueleweka

lazima kuwepo na makubaliano kati ya ujumbe wa mawasiliano ya maneno na

yasiyo na maneno. Rejea kitini cha Mawasiliano na kupitia dondoo za jinsi ya

kutumia mawasiliano ya maneno na yasiyo ya maneno kwa ajili ya kuwa na

mawasiliano yenye mafanikio.

Y a Maneno: Rudia maneno yale yale uliza maswali, tumia lugha hiyohiyo,

tumia sauti zinazochochea majadiliano na utumie sauti ya kirafiki.

Yasiyo ya maneno: Angalia lugha ya mwili mwangalie na mtu mwingine,

mtazame machoni, tikisa kichwa kama ishara ya kukubali na usikilize ladha ya

sauti iko ya aina gani.

7.3 Kusikilza kwa Makini

Hatua ya Kwanza

Waambie washiriki kwamba sasa tutafanya zoezi. Wagawe washiriki wawili

wawili wape majina mmoja awe A na wa pili awe B.

Mwambie A amuulize B (msikilizaji) kuhusiana na kilichotokea mwisho wa

Juma .

Mwache “A” aelezee hadithi yake kwa dakika tatu.

“B” asikilize bila kuongea lolote, katika muda wa hizo dakika tatu. Baada ya

dakika tatu watu hao wawili wabadilishane na wafanye kama walivyo fanya

hapo awali kwa maana kwamba (B) anakuwa ndio msimulizi na (A) anakuwa

msikilizaji.

Hatua ya Pili

Baada ya zoezi, kila pea ijadili kuhusu uzoefu walioupata kwenye zoezi na

kuelezea kuhusu wakati ambao walijisikia kama mwenzake anasikiliza ama

hasikilizi wakati zoezi likiwa linaendelea.

Waambie watakaotaka kujitolea kuwashirikisha wengine uzoefu wao wafanye

hivyo. Orodhesha mifano ya jinsi walivyojisikia wakati mtu alipokuwa

anamsikiliza mwenzake bila kuongea, andika kwenye bango.

84

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!