vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Wakati mtu anahesabu chembe za CD 4

za chembe hai nyeupe zinashuka na

kufikia kati ya chembe 200 kwa maikro lita

moja ya damu au wanakuwa na UKIMWI

Kuelezea maradhi, wnaweza kuanza

kutumia mchanyiko wa dawa za kurefusha

maisha ARVs kwa kipindi Fulani. ARV

zinauwezo wa kuzuia VVU kuongezeka

kama vinavyoka kuwa, ingawaje ARV

haiwezi kuondoa VVU moja kwa moja.

Zinaruhusu chembe hai nyeupe kujijenga

tena, ili ziweze kwa mara nyingine

kupambana na maambukizi mengine.

Hatua ya Pili

Dawa za kupunguza makali ya VVU

(ARV) inaingia mwilini na kushambulia

VVU. Kunasua chembe hai nyeupe

zilizokamatwa na VVU na kumsukuma

VVU kwenye kona. Chembe hai nyeupe

zinakusanya nguvu tena kupambana na

maambukizi na kutatupa mabali kwenye

nje ya mwili.

Mara baada ya kumaliza mchoro wape pongezi waigizaji na kuuliza maswali

yaliyoko hapa chini kuhakikisha kwamba kikundi kina elewa dondoo za

muhimu kutokana na mchezo.

1. Kuna toafauti gani kati ya VVU na UKIMWI?

Jibu:: VVU ni virusi vinavyosababisha UKIMWI. Mtu anaweza akawa na virusi ila

asiwe na UKIMW.

2. Ni kwa muda gani VVU inaweza kupambana na maambukizi bila kuhitaji

msaada wa dawa za kupunguza makali ya VVU?

Jibu: inategemea na mtu binafsi ila inaweza kuwa kama miaka 20 au zaidi.

Kudumisha mtindo wa maisha wenye afya njema ikiwa ni pamoja na kufanya

mazoezi na kupata lishe vinasaidia mwili kupambana na VVU kwa kipindi kirefu

zaidi.

3. Ni wakati gani tunaweza kusema mtu ana UKIMWI”?

Ji.bu: wakati mtu anapokuwa na magonjwa nyemelezi na kinga ya mwili haina uwezo

wa kupambana na maambukizi.

4. Je dawa za kurefusha maisha huwa zinafanya nini mwilini?

Jibu: dawa hizi huvamia VVU vilivyoko kwenye mwaili na kwamba VVU havitaweza

kuongezeka nah ii inawezesha chembe hai nyeupe kujijenga tena ili kuweza

kupambana na maambukizi. .

48