vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
KITUO CHA WANAWAKE CHA AFYA JIPENDE!

JARIBIO LA MWISHO LA MAFUNZO

1. Nini ni sababu kuu ya vifo miongoni mwa wanawake kati ya miaka 18

hadi 49 hapa Tanzania?

UKIMWI, Mimba/ Matatizo wakati wa kujifungua, Magonjwa ya ngono,

Malaria ,

2. Je VVU ni tatizo kubwa kwa wanaume au wanawake ? Wanaume

wanawake

3. je inawezekana kuwa na ugonjwa utokanao na ngono na usijifahamu

kama unao? NDIO HAPANA

4. Kuwa na magonjwa ya ngono kunaongeza uwezekano wa:

kupata saratani kupata VVU Kupata mimba kupata Malaria

5. Taja njia tatu za kuzuia VVU :

a. ____________________ c.______________________

b. ____________________

6. Ipi ni njia pekekee ya kuweza kutambua kama una VVU?

7. Taja njia mbili ambazo unyanyapaa unaathiri jitihada za kuzuia VVU na

kutibu hapa Tanzania :

a. ____________________________________________________

b. ____________________________________________________

8. Ni kwa kiasi gani wanwake wanapaswa kuchunguza sartani ya matiti ?

Kila siku mara moja kwa wiki mara moja kila mwezi

mara moja kwa mwaka

9. ipi ni njia ya mawasiliano yenye ngivu zaidi katika kubadili tabia za

watu?

Redio mawasiliano ya ana kwa ana luninga vipeperushi

137