vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Njia pekee ya kufahamu kama una VVU ni kuafanya kipimo cha VVU.

Unyanyapaa kichocheo chake kikubwa ni hofu. Unyanyapaa huumiza

kisaikolojia, kiakili na hata wakati mwingine kimwili. Unyanyapaa

unafanya iwe vigumu kutafuta taarifa au msaada kama vile wapi

wakapime VVU au wapi wakapate tiba.

Kama viongozi kwenye jamii yetu tunaweza kuwasaidia wanajamii

kupambana na unyanyapaa kwa kufanya yafuatayo. 1) Kushirikishana taarifa

sahihi kuhusu VVU na UKIMWI na kuyaongelea wazi wazi. 2) Bila kificho

kuwakubali wanajamii wateja na ndugu au marafiki wanaoishi na VVU. Kama

kiongozi kwenye jamii njia hii inaweza ikaleta mabadiliko makubwa kuhusu

namna watu wengine wanavyowatendea watu wanaoishi na VVU (WAVIU).

55