08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

KITINI CHA MADA YA 7

MAWASILIANO YA ANA KWA ANA: VISA MKASA VYA IGIZO

DHIMA

Kisa cha 1: Lisa Anaulizia kuhusu kondom, kwa vile amekuwa akisikia

kwamba kondom zina matundu hasa kamautaiweka mfukoni kwa muda mrefu

Kisa cha 2: Catherine anatamani kufahamu kuhusu kondomu za kike za Lady

Pepeta na anakuuliza zinafanya kazi namna gani na je zinaweza kutumika zaidi

ya mara moja?

Kisa cha 3: Miriam amesikia kwamba wakati mwingine kondom huwa

zikivaliwa hazienei vya kutosha na hivyo hazifanikishi sana kwenye kuzuia

mimba.

Kisa cha 4: Upendo anataka kununua kondom ya Lady Pepeta, ila hataki

umwelekeze namna ya kuitumia, je utamwambia nini?

Kisa cha 5 Kim amesikia kwamba kondom moja haitoshelezi na hivyo mtu

atahitaji kuvaa mbili kwa ajili kinga zaidi

Kisa cha 6 Rita anataka kufahamu JIPENDE ni nini na kwanini fulana yako

imeandikwa JIPENDE

Kisa cha 7: Mary ni mwanafunzi na angependa kufahamu ni kwa jinsi gani

kondom inaweza kuzuia maambukizi ya magonjwa ya ngono

Kisa cha 8 Rose anataka kufahamu namna atakvyoongea na rafiki yake wa

kiume kuhusu kondom kaw sababu hataki kupata mimba

Kisa cha 9 Sara anafanya kazi ya bar na rafiki yake mpya wa kiume ambaye ni

mtu mzima zaidi yake ameshampatia vitu vingi vizuri ambavyo amekuwa

akimuomba na sasa huyu rafiki yake anamuomba afanye naye mapenzi.

Anaogopa kuongea nae kuhusu VVU. Je unawez kumsaidia kwa namna gani?

Kisa cha 10 Imma amekuwa kwenye ndoa kwa miaka kadhaa sasa na mtoto

mmoja, mume wake hufanya kazi nje ya mji kwa miezi kadhaa kwa mwaka,

atakuwa anarudi nyumbani na amekuwa akiwaza naman ya kuongea nae

kuhusu VVU na jinsi ya watakavyoweza kulindana. Unaweza kumsaidia kwa

namna gani na je utamwambia nini?

98

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!