vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
warsha.

Hatua ya Pili

Waambie washiriki kuaigiza mada ambazo wataongelea na wateja wao .

Wapatie dakika kadhaa na baada ya hapo waalike watakaopenda kujitolea

kushirikisha wenzao mawazo yao.

Andika majibu yao kwenye bango.

Hatua ya Tatu

Soma madhumuni ya warsha yaliyoko hapa chini kwa sauti na uwaambie

wanakikundi wajadiliane ni kwa namna gani madhumuni yamefikiwa ama

hayakufikiwa.

Madhumuni ya Jumla ya warsha:

Mwisho wa warsha wahudumu wa saluni za urembo na wamiliki wao watapata

taarifa za uhakika kuhusiana na afay ya uzazi, uelewa kuhusiana na saratani ya

matiti na shungo ya kizazi, magonjwa ya ngono na VVU na jiansi ya kuzuia

katika jitihada za kuboresha afya za wanawake wa Tanzania.

Watakuwa pia wameongeza kiwango cha stadi za kufanya majadiliano na

mawasiliano ya ana kwa ana wao na wateja wa saluni ili kuongeza mauzo.

8.2 Taarifa za warsha -Jaribio la mwisho la Warsha

Hatua ya kwanza

Waambie washiriki kwamba utawapatia dodoso. Waelekeze washiriki kwamba

wanazo dakika 20 tu za kujibu maswali. Waambie hapaswi kupata taarifa zozote

kutoka nje ya mada. Na wanapaswa kujibu maswali kwa kuzingatia

wanachokifahamu tu. Baada ya dakika 20 kusanya makaratasi ya jaribio.

Hatua ya Pili

Linganisha matokeo ya jaribio la awali na jaribio la mwisho la mafunzo. Weka

angalizo kwa maswali ambayo yamepata kiwango kidogo cha majibu sahihi .

135