vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
utoshelevu ukiwa na VVU. Unaweza kutambua tabia hatarishi maishani

mwako na kujifunza jinsi ya kuzizuia na kuzuia kuambukiza wengine.

4.3 Unyanyapaa na VVU/ UKIMWI

Hatua ya Kwanza

Waulize washiriki nini maana ya Unyanyapaa? Andika majibu kwenye bango na

uyatumie majibu yaliyoorodheshwa hapa chini kuhitimisha. Pia waulize

wakupatie mifano yakuonyesha unyanyapaa.

Majibu yanayotarajiwa:

Unyanyapaa unaweza kuelezewa kama “alama ya aibu au kudharauliwa mtu au

kikundi cha watu”.

Unyanyapaa msingi wake ni hofu na ukosefu wa ufahamu. Mifano ya

unyanaypaa unaowaathri watu wanaoishi na VVU/UKIMWI na familia zao:

Wakati ambapo wanafamilia wanapomfukuza mwanafamilia wao

nyumbani kwa sababu anapima na kugundulika ana VVU;

Wakati ambapo mtu anapofukuzwa kazini kwa sababu amepatwa na

VVU;

Wakati ambapo mume anampiga mkewe kwa vile amegundua kwamba

amepima na akakutwa ana maambukizi ya VVU.

Waambie washirki kwamba kwa bahati mbaya mara nyingi watu wanaoishi na

VVU wananynyapaliwa na watu wa jamii wanamoishi.

Hii ina maana kwamba wanatendewa kinyume au kubaguliwa, kwa vile

wanaishi na VVU/AIDS, au kwa sababu wanafahamu fulani anaishi na

VVU/UKIMWI.

Wanawake na wasichana mara nyingi wanaaandamwa na unayanaypa kwenye

jamii wanapolaumiwa kuwa wanasambaza VVU.

Hatua ya Pili

Waulize washiriki, ni kwa namna gani unyanyapaa unaathiri kuzuia VVU?

Baada ya kupat majibu weleze washiriki kwamba unyanyapaa ni hatari kwa

sababu inawawia watu vigumu kutafuat huduma za taarifa na msaada, kama

vile wapi kipimo cha VVIU kianapatikana, jinsi ya kuizuia na VVU au wapi pa

kupata tiba. Unyanyapaa unawasababisha watu kuvunjiak moyo kutumia

53