08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

- Wanawake wanaonyonyesha (walio na watoto chini ya miezi 6)

Nani hawawezi kutumia njia hii?

- Mwanamke mjamzito au ambae huenda ana mimba

- Mwanamke anayetokwa damu ukeni bila kuwepo na sababu

inayoeleweka

Madhara yanayoweza kuwepo

Kuwa na dalili ya damu au hedhi kusimama

- Kuwa na hedhi isiyokuwa na mpangilio kati ya mzunguko mmoja wa

hedhi na mwingine

Dalili za hatari ambazo zitahitaji uangalizi wa haraka wa daktari:

- Kuwa na maumivu makali chini ya tumbo pamoja na kukosa kuona hedhi

- Endapo mtumiaji ataendelea kusahau kutumia vidonge au kunywa akiwa

amechelewa muda aliojiwekea. ( taking them late)

- Kutokwa damu nyingi (Excessive bleeding)

Kuzuia magonjwa ya ngono ukiwemo UKIMWI

- Vidonge vya uazi wa mpango vyenye homoni zaidi ya moja haviwezi

kukulinda na magonjwa ya ngono ukiwemo UKIMWI

Tahadhari : Wanawake hawapaswi kuanza kutumia vidonge vya uzazi bila

kupata ushauri wa mtaalamu wa afya ili kuepuka mataizo ya kiafya na kuweza

kupata taarifa sahihi na maelekezo sahihi ya jinsi ya matumizi.

Maelekezo kwa kiongozi wa Rika

Tumeshaongea kuhusu kondom ya kiume na ya kike kwenye kipindi kilichopita,

ila tunaweza kuwakumbusha washiriki kuhusu majina ya kondom za kike na

kiume tulizozijadili. Kama muda unatosha pitia taarifa na kama la wapatie

washiriki kitini cha Kondom na muendelee kwenye hatua ya 4: Kazi ya igizo

dhima.

Wapatie kitini cha Kondom na upitie na wanakikundi. Wakumbushe

wanakikundi kwamba tayari tumesha ongelea kuhusu kwenye somo lilopita na

kwamba tutapitia taarifa kuhusu kondom kwa kutumia kitini. Kondomu kama

vile Dume na Lady Pepeta.

Kondom ni nini?

- Kondom za kiume – Ni kifaa cha plastiki kinachovaliwa kwenye

uume uliosimama kabla ya tendo la ngono

- Kondom ya kike - ni kifaa cha plastik kinachovaliwa ndani ya uke

112

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!