vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Hatua ya Nne

3. Ili kufikia malengo ni muhimu kuwa na mpango kazi wako kwa

wiki pamoja na ratiba kwa kila shughuli zako.

4. Mwisho wa kila wiki tathmini uone kama umefikia malengo yako.

5. Tengeneza mkakati kwa kila lengo uliloweka. Mf kuongeza idadi

ya wateja wiki hii nitatoa punguzo ya asilimia 10 kwa wateja

kutoka jamii yangu ya kanisa la kibaptisti.

Waeleze washiriki kwamba sasa tumesha maliza mada zote zilizopangwa kwa

ajili ya siku ya kwanza ya mafunzo.Tunawashukuru sana kwa kuwa pamoja

nasi.

Waambie washiriki kuwa tungependa kupata mrejesho kuhusiana na mada

zilizomaliza leo.

Wapatie fomu ya tathmini ya kupata mrejesho kutoka kwa kila mshiriki

hakikisha zinajazwa kabla washiriki hawajaondoka.

Wakumbushe washiriki kuhusu tarehe za mafunzo yanayofuata na uwashukuru

mara nyingine kwa kuja.

28