08.06.2013 Views

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

vituo vya wanawake vya jipende! mtaala kwa ajili ya ... - C-Hub

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Vinafanya kazi namna gani ;

- Huzuia mwili wa mwanamke kuachilai yai kila mwezi

- Hufanya ute wa kizazi kuwa mzito na kuwa vigumu kwa mbegu ya

kiume kupenya kwenda kwenye kizazi

- Inakuwa vigumu kwa yai kukaa kwenye mji wa mimba (embed)

Inavyofanikisha:

Zinafanikisha sana mara baada ya kuwekewa uhakika wa matumizi mazuri ni

hakika.

Faida

- Inafaniksha masaa 24 baada ya kuiweka

- Haiathiri unyonyeshaji

- Inatoa ulinzi kw akipndi kirefu hadi miaka 3-5

- Haiingiliani na tendo la ngono

Nani wanweza kutumia

- Wanawake wanaotaka kuzuia mimba kwa muda mrefu

- Wanawake ambao wameshapata watoto wa kutosha na hawako tayari

kwa ajili ya kutumia njia ya kudumu ya kufunga kizazi

- Wanwake wenye ugonjwa wa upungufu wa damu kutokana na seli

mundu ( sickle cell)

- Wanawake ambao hawawezi kutumia vidonge

Nani hawawezi kutumia njia hii

- Wajawazito

- Wanawake wenye kupata mabadiliko ya hedhi kila mwezi

- Wanawake wenye ugonjwa wa ini

- Wanawake wenye kutokwa damu ukeni bila kuwa na maelezo

yanayoeleweka

Athari za vipandikizi (Norplant/Implanon)

- Kubadilika kwa mzunguko wa hedhi – kupata matone, au kuja bila kuwa

na mpangilio maalumu au kukosa hedhi kabisa

- Kuongeza au kupungua uzito sana

Kuzuia magonjwa ya ngono na UKIMWI

Haiwezi kukulinda na Magonjwa ya ngono na UKIMWI

Dalili za tahadhari ambazo zitahitaji uangalizi wa haraka wa kidaktari ;

- Maumivu makali chini ya tumbo

- Kutokwa kwa damu nyingi ukeni

- Kutokwa na usaha au kutokwa na damu au kufa ganzi

- Kuumwa kichwa sanakuwa na tatizo la kutokuona vizuri

127

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!