12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

بسمهللا الر حمن الر حيمMKOMBOZI WA WAJINGA:Qur an:Zumar:39:9“…Je wanaweza kuwa sawa wale wanaojua na walewasiojua?” Wanaotanabahi ni wale wenye akili tu.Ajabu katika ukweli wa mambo ni kwamba kila alimu anaemwalimu, wengi wetu. Lakini Bwana Mtume SAW alikuwaUmmiyyi (asiyejua kuandika wala kusoma, kilichoandikwa) mpakaalipofikia umri wa miaka 40. hapo ndipo alipoanza kufundishwa, naMnyezi Mungu mwenyewe kwa wasita tofauti na ule uliokusudiwahasa kwa viumbe:Qur an: 96:4.“..Amefundisha kwa wasita wa kalamu..”Lakini yeye ni kwa Roho Mtakatifu (Seyyidna Jibril A.S).“<strong>Al</strong>lamahu shadidul quwaa”.Matokeo yake ilikuwa kwamba Bwana Mtume alipata Ilimu ambayohakuna aliefikia robo yake. Na akafundisha ulimwengu mzimampaka leo hii.Malinganisho:1. Bwana Mtume SAW hakujua kuandika na kusoma tanguudogo wake - Wengi ya wa kileo huanza kujishughulishana Ilimu katika umri wa miaka 5, 6, hadi 7 na juu ya hivohakuna tegemeo la kupata robo ya Ilimu ya Ummiyyi(Illiterate) huyo.2. Bwana Mtume SAW alifundishwa na Mwenyezi Mungu kwa1.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!