12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Haya wanayoyafanya hawa wenye kumpiga vita Bwana MtumeSAW waelewe kua wanafanya ya kumuudhi Mnyezi Mungu badalaya kuitetea Dini na kumtetea Mtume wake. Hebu na aangalie mtukauli ya Mnyezi Mnugu.Qur an: Hashr:59:7.……“…Na anayokupeni Mtume chukueni, na anayokukatazeninayo, basi yawacheni…”.Na kauli zake Bwana Mtume SAW:‏ٌمذذزود ‏ٌىُ‏ ‏ِا أْ‏ ذّظىرُ‏ تّٙا فٍٓ‏ ذضٍٛااتذا اٌمزاْ‏ ‏ٚطٕرٝ‏“Bila shaka nimekuachieni vizito viwili Qur an naSunna zangu – ambapo mkikamatana navyo, basihamtapotea abadan”.Ajitazame mtu huyo kweli atakua Mwislamu kwa kuyaacha yaBwana Mtume SAW? Laa ilaha Illal Llahu. Basi kila mtu anajionaNafsi yake – Na Mnyezi Mungu anatwambia.Qur an:An Nisa:4:115.“Na atakaemuasi Mtume baada ya kumdhhirikiaUongofu na akafuata njia isiyokuwa ya Waislamu36.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!