12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

lakini ameenda kuitaka wakati yeye alikuwa ndani ya starehe zakesaa zile.Mwingine amemuasi mkewe, amemuweka kwenye kibanda,si wa chakula cha maana wala nguo. Yeye hana haja nae walahamuachi, bali akimuacha hivo hivo hadi kufa.Mtu mwingine amerundika pombe na wanawake anastarehekwa mali ya yatima ambao hawajui lolote, na pengine wa katikadhiki kubwa hapo kwao.Kundi la watu limeacha kazi zao kumzunguka mshairiakimsifu mwenye pesa, na Fulani bin Fulani, huku wakianguavicheko na kudhihaki.Wengine wameeka rubaa kuzungumza juu ya biashara, wizi,na vita. Silaha gani waongeze, na farasi wangapi zingepaswakununuliwa; pengine kikoa hichi kingerudiwa siku kadhaa wakadhaa kabla kuwafikiana.Mtu mwingine anaburuzana na mwanamke kwa nguvuhadharani na pengine amemjeruhi na kumchania nguo. Juu yakupiga kelele na kuomba msaada, waapi! Hakuna ambaeangeshituka hata kidogo.Mmoja miungoni mwao ameinuka akiwa aliyechukizwa mnona tabia za kinyama namna zile. Akasimama imara pamoja nakuonwa eti ni mwenye kujisumbua nafsi yake bure. Kusimamadhiddi ya wengi waovu? Mbona ni sawa na kujitia katika mamboyasokuhusu ndewe wala sikio? Yamekuhusu nini, si kungojautendewe wewe?Siku ya kwanza na ya pili ya kutetea kwake haikua sawa nasiku ya tatu na zilofwata. Walikuwepo kama yeye ambao hawakuawakipendelea mambo yale, lakini walikua wamejificha na saa hiyobasi walijitokeza wakajumuika.Kila siku nguvu yao ilikizidi na kuzidi mpaka kufikia hatuaambayo uonevu ulipungua, na dhulma ikawa kama ngeni.He! Taratibu yakaanza kutoeka na kusambaratika. Matendoyote yale yalo kionekana kua ya kawaida sasa yakawa hayapokabisa. Mihanga ya kuuawa wasichana kila mwaka ikatoweka, kwasababu hapajakuwepo tena ismu ya sanamu.Tabia ya kuzika binati wadogo mara walipozaliwaikasimama na kupita, ikabaki ni hadithi tu ambazo hazikuaminikamara moja hivi. Mandhari ikaonekana ya kistaarabu badala yakishenzi na kinyama nyama. Na pengine yule yule alie akiabudu22.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!