12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mnyezi Mungu ametoa mara tatu mifano kama hiyo ndani ya Quran na aya nyingine ni:Qur an:Israil:17:88.“Sema: hata wakikusanyika watu (wote) na Majinniili kuleta mfano wa hii Qur an, basi hawangaliwezakuleta mfano wake; hata kama watasaidiana (vipi)wao kwa wao”.Bwana Mtume SAW anasema:“Ambae hamstahi Mnyezi Mungu, basi na afanze ayatakayo.Hiyo siyo ruhusa lakini, ni fumbo.Wafaqqanallah ala maa yuhibu wayardha.38.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!