12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

“Kwa yaqini tumekutuma uwe shahidi na mtoaji wahabari nzuri na (tumekuleta uwe) muonyaji. Na uwemuitaji (wa watu) kwa Mwenyezi Mungu kwa idhiniyake na (uwe) taa itoayo Nuru”.Akiwa Mtume na Mjumbe wa Mnyezi Mungu alitofautiana nawenzie kwa mengi, yeye ni kiigizo chema juu ya viumbe.Qur an: Ahzab:33:21.“Bila shaka mnao mfano mwema (Ruwaza nzuri) kwaMtume wa Mnyezi Mungu kwa mwenye kumuogopaMwenyezi Mungu na siku ya mwisho na kumtaja MwenyeziMungu sana”.Hilo neno (Lakum) katika aya hiyo limeambiwa sisi,limehusishwa kwetu sisi, na hassa waumini katika viumbe naZAMAN za mwisho. Katika uzito wa maana zake inaonyesha wazikua lau kila mmoja alichukua tabia za Bwana Mtume SAWingeswiri watu wote kua kama mtu mmoja tu – Naby MuhammadSAW. Naye alikuwa na khulka ya Qur an.واْ‏ خٍمٗ‏ اٌمزاْ‏“<strong>Al</strong>ikuwa tabia zake kama Qur an”Hayo ni maneno aliyosema Ummul Muuminin Bi Ayshabinti Seyyidna Abu-bakaris Siddiq - R.a. alipoendewa na baadhi yaMaswahaba kuulizwa juu ya khulka ya Bwana Mtume SAW.Nabiyyil Ummiyyi:Kuja kwa Bwana Mtume SAW kama asiyejua kuandika walakusoma kiloandikwa:viii.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!