12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Bwana wa Mabwana:Mnyezi Mungu anatuonyesha vipi ilikuwa hali ya wale wanawakekatika karamu ya mke wa Mfalme Aziz walipomuona Naby Yusufkwa mara ya kwanza:Qur an:Suratil Yusuf:12:31.…“…Wakasema: Hasha lillahi! Huyu si mwanadamu;Hakuwa huyu ila ni Malaika Mtukufu”.Chambulecho <strong>Al</strong> Habib Seyyid Umar:“…Wamesema kua yeye si Bashari, Naby Yusuf. NaMnyezi Mungu kayaeleza ndani ya Qur an pasinakuyavunja. Hawa watu wanafikiri vipi, kwani Mtumeakiwa yeye si Bashari kama Bashari ndoumekwisha sema kua yeye ni Mungu. MnyeziMungu ni mwingine namna nyingine, watuwamejaribu kutaka kumvunja mtu huyu, makafiriwanamponda nawe unasaidia? Na watu ambaowasokuwa Waislamu wanamsemea!! Mtizameniyule nlokwambieni Bordley, mtazameni Carleyle,muandishi mkubwa, msemaji mkubwa waKiingereza. Ana buku lake “Heroes and heroworship”. Hero as a Profet – Akamtaja MuhammadSAW - As a Profet - Huna cha kumpondea Mtumehata kimoja Makafiri wamesalim amri…”Lakini yapo mambo mawili ya kuzingatia. Kwanza jambolilobashiriwa na Bwana Mtume SAW kua litatokea, basi hakunawa kulizuia. Yeye alisema utakuja wakati, watu watawalaumuwalotangulia (katika Maulamaa na kadhalika).Pili amesema:“Kila Umma ulikua na Fitna, na Fitna ya ummawangu ni Mali”.Basi kama mtu ameandikiwa Uongofu atafikiria mno – Manenoya Bwana Mtume SAW :12.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!