12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

kama hao imejaa maarifa ya khulaswa kua Bwana Mtume SAWalizaliwa Makka na kupewa Utume hapo Makka. Na akaha-jirkwenda Madina. Wao hawana khabari yeyote juu ya undani wakauli yake Mnyezi Mungu:Qur an:<strong>Al</strong> Imran:3:169.“Wala usiwadhani wale waliouawa katika njia yaMwenyezi Mungu kuwa ni wafu (maiti). Bali wahai, wanaruzukiwa kwa mola wao”.Na yataacha wapi kumuhuzunisha mambo yetu wakatianasema kua zile amali zetu zikisha onyeshwa kwake naeakaziangalia:“Nikizikuta za kheri, basi namuhimidia Mnyezi Mungu,na nikizikuta zisokua za kheri nawaombea Maghfirakwa Mnyezi Mungu” .Jee mtu aliyekwisha kufa yumo ndani ya kaburi penginemifupa imeshageuka mchanga (na lau ardhi haili miili ya Mitume)ana haja gani na wakosaji walo mwenye uhai wa duniani?Wewe hushituki kuona kua kila uvutapo makamba yako,Bwana Mtume SAW awe anazilegeza kwa kukuombea Maghfirampaka hii leo?!! <strong>Al</strong>lahu Akbar!!.Aya mbili za ndani ya Suratil Ahzab ni lazima zimpe shidayule anaesimama kidete kupinga Swalaatu alan Naby SAW na hukuakidai kua yeye ni Muislamu, Muislamu wa nani? Chambulecho <strong>Al</strong>Habib Seyyid Umar Mwinyi Baraka!!Katika kazi kubwa aloifanya Bwana Mtume SAW ni kulekuibainisha ile Qur an kwetu ili tuweze kuifahamu baraab-bar yalematakwa yake. Mnyezi Mungu ameteremsha Qur an naam, lakiniKuibainisha ilikua kazi ya Bwana Mtume SAW.32.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!