12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kua kawli kama hizo ni Shirki. “Mtu Fulani ni kama Simba auMulku Sleyman bin Daud”, Hayo si mazito. “Fulani mtukufu,Muadhamu, ni wa pekee!!” Hayo si shirki!!.Watu hawa walau ya kua na ilmu, wanapofikia uamuzi kamahuo, hua na lengo gani nyuma ya Bwana Mtume SAW?. BwanaMtume SAW amehofia mno ulamaa wanapoigeukia dunia,wakaipenda, na wanapovutika kwa MALI!!!Na tumuombe Mnyezi Mungu kwa Jaha ya Bwana MtumeSAW atuingize katika hekma zake na atuzidishie Ilmu pamoja nakuturuzuku fahamu, kwani bila ta-fuhma njema Ilmu haijasimama.Wa sallal Lahu wa Sallam alaa khayru khalqillahiKulli-himi Sydna MUHAMMAD.26.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!