12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Miungoni mwa sifa za Bwana MtumeMuhammad SAW:Walomsifu Bwana Mtume SAW wakiwa ni mabingwawa fanni nyingi za ilmu hawakufika mwisho. Akili za wenye akilihazikutatanishwa na jambo lolote zito kama suala la Bwana MtumeMuhammad SAW (Alayhis swala-tu was salaam). Miungoni mwasifa chache tu za Bwana huyo ni:1. Kapokea Wahyi toka kwa Mnyezi Mungu.2. kakamilika kwa tabia njema.3. Mikono yake ilijaa barka na ilitoa chem chem za maji.4. Hakua na kivuli.5. Hakua na athar alipotembea kwenye mchanga.6. Uso wake ulijaa Nuru.7. Kati ya mabega yake alikua na Muhuri ulokitoa Nuru.8. Haukujulikana urefu wake.9. Haukujulikana upeo wa nguvu zake.10. Ameoa wake wengi kwa Rukhsa ya Mnyezi Mungu.11. Akimtangulia kila Mtu kumtolea salam.12. Alikuwa akicheka katika kila maudhi alofanyiwa yeye.13. Alikuwa akighadhibika katika kila lilokua la kumuudhiAllah.14. Jasho lake likinukia badala ya kunuka.15. Akiona mbele yake kama nyuma, pembeni na chini yake.16. Akiona gizani kama mwangani.17. Hakupata kumnyanyasa masikini.18. Hakuwa mwenye kukataa jambo la sawa.19. Akishauriana na watu katika mambo mengi.20. Alikisali mno Sunna za usiku mpaka ikivimba miguu yake.21. Akiwapenda mno yatima.22. Akiwatumikia ahli zake kwa haraka haraka.23. Alikitolewa salam na mawe na miti kila alipoipitia.24. Alizungumza na Paa (Ghazzali).25. Alisubiria misuko suko yote kwa ajii ya dini ya MnyeziMungu.26. Aliwahutubia Majinni juu ya Uislamu.27. Alionana na Mitume yote ilopita.28. Aliona pepo na moto na Malaika wenye kuzisimamia.17.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!