12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Wasita wa Seyyidna Jibril A.S. – Kwa kiumbe mwingine kupatanafasi hiyo labda katika kufundishwa kutamka:Qur an:Ar-Rahman:55:3-4.……“..Amemuumba binaadamu..”… …“..Akamfundisha kutamka..”Na pia Il-ham kuhusiana na Furqan (Ilmu ya Upambanuzi).3. Bwana Mtume SAW – amewafundisha Majinni Ilmu naUislamu, na kwa uwezo mkubwa aliopewa pamoja naushujaa wa moyo alizungumza na viumbe vingine vyoteilipobidi.Wengi ya watu wasomi si wenye kumudu hayo, na penginekwa Imani dhaifu huenda akitokea kumuogopa Jinni au Mnyamamkali yeyote yule, kupita vile amuogopavo Mnyezi Mungu, na hayoni mambo ya ajabu mno.Kuja kwa Bwana Mtume Muhammad SAW duniani katikakarne ya sita baada ya Naby Isa A.S walimwengu duniani walikuwakatika giza zito la ujinga. Hakika hii haikanushiki kwa wajuaotarikh. Ilimu ya kila aina iko kwa Mnyezi Mungu. Naye ndiyeaiteremshae kwa viumbe kwa kupitia kwa Mitume – Ghalib.Katika zama hizo hizo mathalan aliyejua hakika ya duniaakatangaza kua ni Duara au inazunguuka aghlabu alihukumiwakufa. Kwa hio hakuwepo alimu yeyote wa kutokomeza ujinga ule,isipokuwa Bwana Mtume SAW. Mwenye fikra nzito ataona kua lausi Bwana Mtume SAW, sura ya walimwengu hii leo haingekuwailipofikia hata Kidogo.Seyyidna <strong>Al</strong>y bin Aby Twa-lib R.A akiwa kama lango la mjiwa ilmu (kutokana na hadithi aloisema Bwana Mtume (SAW):2.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!