12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

93. Ni jemedari hodari wa vita.94 Katokana na wazazi walotwahirika na uchafu wa ainayeyote.95. Akiwaamrisha wakeze kuwahudumia majeruhi vitani.96. Akishika gao la mchanga akitupia adui vitani kamaguruneti.97. <strong>Al</strong>ieka udugu mzito kati ya Islamu na Islamu.98. <strong>Al</strong>ikuwa mkweli tangu utotoni.99. <strong>Al</strong>ikuwa Mwaminifu.100. <strong>Al</strong>ikuwa Mfaswaha na mwenye hoja kali.Katika jumla ya sifa hizo, na aitazame mwenye kutizama,aseme yeye anayo moja yeyote tangu udogo wake bila kukosananayo hata mara moja.Hizo ni miungoni tu mwa sifa za Bwana Mtume SAW, siozote. Na papo ingemuhitaji mtu wa Taqwa kubwa sana kuhozibaadhi yake kwa taabu pia.20.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!