12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

59. Hakuzidiwa na yeyote kwa ustahamilivu.60. Hakuzidiwa na yeyote kwa Urahimu.61. Hakuzidiwa na yeyote kwa Kuridhia.62. Hakuzidiwa na yeyote kwa Hikma.63. Hakuzidiwa na yeyote kwa Kuabudu.64. Hakuzidiwa na yeyote kwa kumjua Mnyezi Mungu.65. Hakuzidiwa na yeyote kwa Kujijua Nafsi yake.66. Alisemeshwa na chakula kilichotiwa sumu.67. Hakupendelea mali wala dunia.68. Hakupendelea ujinga pamoja na kua Ummiyyi.69. Akipenda kufikirifikiri mara nyingi.70. Akipenda ukweli hata katika mizaha.71. Aliepukana na kila aina ya uchafu.72. Alipendwa hata na adui zake.73. Hakuogopa chochote illa Mnyezi Mungu.74. Hakupata kutuliwa na nzi mwilini.75. Kanzu yake haikueka mstari kiunoni hata mara moja.76. Alikua na khulka ilonasibiana na kitabu cha MnyeziMungu.77. Akitoa na kupokea kwa mkono wake wa kulia.78. Alikua akiombea mno umati wake na hasa walokufa.79. Akiwapenda jirani zake hata Yahudi.80. Akizuru wagonjwa.81. Akienda kuzika maskini.82. Akimpa alomyima.83. Akimfikia aliyempiga pande yeye.84. Akihudhuria alipoalikwa na maskini.85. Hakua akieka undani au kinyongo.86. Akiwahurumia sana kina mama hasa wafiwa na waumezao.87. Aliwakomboa wanawake kutoka katika unyonge.88. Akija-hid kuondosha ubaguzi na Ubwana.89. Akipenda kueka usawa kati ya watu.90. Alikuwa rafiki ya wote, na kila mmoja alikua akiona yeyendiye rafiki yake mkubwa.91. Hajapata kuhudhuria harusi hata ya Binti yake.92. Watu wakisilimu kwa wema wake.19.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!