12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

بسمهللا الر حمن الر حيمUTANGULIZI:Al Hamduli-llahi Alostahiki sifa nyingi zote, miungonimwa ambazo ni kubwa, hakuna kama kule kutuumba sisi WanaAdamu, na kututengenezea ambayo kuyahisabu si kazi rahisi hatakidogo.Na Rehma na Amani zake Mola zimfikie alojaa fadhilakama bahari kwa ukubwa na wingi wake, nae akiwa na funguo zote,Bwana Mtume Muhammad SAW na Jamaa zake wote, pamoja nawalomfwata, walofwata hadi kufikia siku ya malipo.Baada ya utukuzo wa jina la Mnyezi Mungu, sifa zake nakumtakia Rehma Mtume wake ambae ni kipenzi kwake, ni lazimanikiri si mimi tu bali kila Muumini kwa Bwana Mtume MuhammadSAW ni Naby wa mwisho, ambae kupelekwa kwake ni tofautikisehemu na Mitume ilomtangulia. Yeye amepelekwa kwa viumbewote. Isitoshe, amekhusishwa kwa uongofu na Dini ya KWELI ilikuidhihirisha wazi wazi juu ya dini zote.Qur an: Al Fat: 48:28.“Yeye ndiye Aliyemtuma, (Aliyemleta) Mtume wakekwa uwongofu na dini iliyo ya haki ili aishindishejuu ya dini zote na Mwenyezi Mungu anatosha kuwashahidi”Kupelekwa kwake kwa viumbe, zaidi ya kua kama shahidina mbashiria kheri na ya kuwafaa viumbe, na kama muonyaji, yeyeni Taa ya kung`aa.Qur an:Ahzab:33:45-46.vii.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!