12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Miaka mia sita baada ya Nabii Isa - A.S.Ni kutokana na historia ya maandishi au machimbo au yakupitia mdomo hadi mdomo, tunapata kujua yaliopita siku za kale.Inaaminika kua kati ya uzawa wa Naby Isa AS (Jesus Christ)na Muhammad SAW ilipita miaka mia tano na sabini na moja.<strong>Al</strong>ipokurubia kuondoka diniani huyo Naby Isa AS mwana waMaryam binti Imrani alinena kuwaambia Bani Israeli, manenoambayo yamehifadhiwa kumbukumbu yake mwenye Qur an kamahivi:Qur an:SUratil As saff:6:6.“Na (wakumbushe) aliposema (Nabii) Isa Ibn Maryam(Kuwaambia Mayahudi) enyi wana wa Israil mimi niMtume wa Mwenyezi Mungu kwenu nisadikishayeyaliyokuwa kabla yangu katika Taurati na kutoa habarinjema ya Mtume atakaye wajia nyuma yangu ambayejina lake litakuwa Ahmad (Muhammad na maanaya majina mawili yote haya ni moja. Maana yakemwenye kushukuriwa kwa maneno yake mazuri navitendo vyake vizuri na kila chake, kwani vyake vyoteni vizuri) lakini alipowajia kwa hoja zilizo wazi walisemahuu ni udanganyifu ulio dhahiri”Bishara ile ilidhihiri kweli; na hiyo ilikuwa miungoni mwa miujizayake Naby Isa AS. Kwa sababu miujiza sio yake mtu binafsi, bali niya Mnyezi Mungu.Mayahudi walijitahidi kila njia kupeleleza na kupangamauaji ya Mtume huyo kwa vile wao ndo walokijua ukweli wake,Lakini hawakufaulu; Bwana Mtume SAW alipatikana kamaalivyopanga Mwenyewe mwingi wa mipango Sub-hana wa Ta`ala.6.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!